wakala wa Vipimo nchini wahakiki mizani 3,070, matayarisho ya ununuzi wa pamba kwa msimu wa 2017/2018

wakala wa Vipimo nchini wahakiki mizani 3,070, matayarisho ya ununuzi wa pamba kwa msimu wa 2017/2018 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa wakala wa Vipimo nchini wahakiki mizani 3,070, matayarisho ya ununuzi wa pamba kwa msimu wa 2017/2018, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : wakala wa Vipimo nchini wahakiki mizani 3,070, matayarisho ya ununuzi wa pamba kwa msimu wa 2017/2018
kiungo : wakala wa Vipimo nchini wahakiki mizani 3,070, matayarisho ya ununuzi wa pamba kwa msimu wa 2017/2018

soma pia


wakala wa Vipimo nchini wahakiki mizani 3,070, matayarisho ya ununuzi wa pamba kwa msimu wa 2017/2018

Na Atley Kuni - Mwanza.

Jumla ya mizani 3,070 Iliyo Hakikiwa katika mikoa ya kanda ya ziwa kwa ajili ya matayarisho ya ununuzi wa pamba kwa msimu wa 2017/2018 imekutwa salama baada ya kuhakikiwa na wakala wa Vipimo nchini.

Akizungumza nami Jijini Mwanza, kaimu Meneja Sehemu ya Elimu, Habari na Mawasiliano Bi. Irene John, amesema, Wakala wa vipimo Tanzania ( WMA) chini ya usimamizi wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji imeendelea kutoa elimu kwa wakulima pamoja na kuhakiki mizani itakayotumika kununulia zao la Pamba ikiwa ni maandalizi ya msimu wa ununuzi wa Pamba kwa mwaka huu.
Wakulima mkoani Shinyanga wakipatiwa elimu kuhusu matumizi sahihi ya Mizani kabla ya msimu kuanza. 

Bi. Irene amesema, Dhumuni kuu la utoaji elimu kwa wakulima wa zao la Pamba Kanda ya Ziwa ni kuwawezesha wakulima kutambua mizani iliyosahihi (inayoruhusiwa kwa biashara) na ile iliyochezewa (isiyoruhusiwa kwa biashara) ili waweze kujilinda wenyewe pindi maafisa vipimo wanapokuwa hawapo katika vituo vya kuuzia Pamba yao, lakini pia ni kuwawezesha wakulima kupata faida ya thamani kamili ya jasho lao.

Ameongeza kuwa, katika maandalizi ya msimu mpya wa ununuzi wa Pamba zaidi ya mizani 1,402 imekaguliwa katika mkoa wa Shinyanga, mkoa wa Simiyu wamekagua zaidi ya mizani 302, mkoa wa Geita jumla ya mizani 40 tayari imekaguliwa, ilihali katika mkoa wa Mwanza wamekagua mizani 448, mkoa wa Mara mizani 690, mkoa wa Tabora wamekagua mizani 164 pamoja na mkoa wa Kagera wamekagua jumla ya mizani 24 ikiwa ni maandalizi ya ununuzi wa zao la Pamba.
Wakulima mkoani Geita wakipatiwa Elimu. 

Katika hatua nyingine Irene amesema, sheria ya Vipimo Sura 340 inawataka Wakala wa Vipimo kuhakiki na kupiga chapa vipimo vyote vinavyotumika katika biashara ikiwa ni pamoja na kuweka sticker kwa kipimo kitakachokuwa tayari kimehakikiwa na kukutwa kikiwa sahihi ili iwe rahisi kwa wakulima kuona na kutambua mizani iliyokaguliwa na kuruhusiwa kwa biashara kwa mwaka husika.

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI


Hivyo makala wakala wa Vipimo nchini wahakiki mizani 3,070, matayarisho ya ununuzi wa pamba kwa msimu wa 2017/2018

yaani makala yote wakala wa Vipimo nchini wahakiki mizani 3,070, matayarisho ya ununuzi wa pamba kwa msimu wa 2017/2018 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala wakala wa Vipimo nchini wahakiki mizani 3,070, matayarisho ya ununuzi wa pamba kwa msimu wa 2017/2018 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/wakala-wa-vipimo-nchini-wahakiki-mizani.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "wakala wa Vipimo nchini wahakiki mizani 3,070, matayarisho ya ununuzi wa pamba kwa msimu wa 2017/2018"

Post a Comment