title : Kiwanja Kinauzwa - Kigamboni Kibada
kiungo : Kiwanja Kinauzwa - Kigamboni Kibada
Kiwanja Kinauzwa - Kigamboni Kibada
Muonekano wa Kiwanja. Ni Kuanzia mwanzo wa Picha mpaka mwisho wa Ukuta upande wa kushoto
Mwanzo wa Picha Mpaka kwenye ukuta wa Ghorofa kule
Kiwanja Kipo KIGAMBONI KIBADA
Ukubwa wa Kiwanja ni Mita za Mraba (Sqmeter) 1088
Kiwanja kina hati safi na hakina mgogoro
Bei ni Milioni 65 Maongezi kidogo yapo na Kiwanja hiki kinauzwa Na Mwenye Nacho
Kwa Mawasiliano 0786 821 613
Karibu mwenye Uhitaji. Biashara Maelewano Hata
Hivyo makala Kiwanja Kinauzwa - Kigamboni Kibada
yaani makala yote Kiwanja Kinauzwa - Kigamboni Kibada Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Kiwanja Kinauzwa - Kigamboni Kibada mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/kiwanja-kinauzwa-kigamboni-kibada.html
0 Response to "Kiwanja Kinauzwa - Kigamboni Kibada"
Post a Comment