Rais Magufuli amteua Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro

Rais Magufuli amteua Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Rais Magufuli amteua Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Rais Magufuli amteua Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro
kiungo : Rais Magufuli amteua Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro

soma pia


Rais Magufuli amteua Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 03 Juni, 2017 amemteua Bibi Anna Elisha Mghwira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro.

Bibi Anna Elisha Mghwira anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Bw. Saidi Meck Sadiki aliyekuwa Mkuu wa Mkoa huo.

Wakati huo huo, Mhe. Rais Magufuli amemteua Meja Jenerali Issah Suleiman Nassor kuwa Balozi.

Kabla ya uteuzi huo Meja Jenerali Issah Suleiman Nassor alikuwa Mkuu wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ).

Halikadhalika, Mhe. Rais Magufuli amemteua DIGP Abdulrahman Omari Juma Kaniki kuwa Balozi.

Kabla ya uteuzi huo DIGP Abdulrahman Omari Juma Kaniki alikuwa Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi.

Tarehe ya kuapishwa kwa wateule wote itatangazwa baadaye.

Gerson Msigwa
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU
Dar es Salaam
03 Juni, 2017


Hivyo makala Rais Magufuli amteua Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro

yaani makala yote Rais Magufuli amteua Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Rais Magufuli amteua Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/rais-magufuli-amteua-mwenyekiti-wa-act.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Rais Magufuli amteua Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro"

Post a Comment