MAJALIWA AWEKA JIWE LA MSINGI LA SEKONDARI YA KARDINALI PENGO IKWIRIR

MAJALIWA AWEKA JIWE LA MSINGI LA SEKONDARI YA KARDINALI PENGO IKWIRIR - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAJALIWA AWEKA JIWE LA MSINGI LA SEKONDARI YA KARDINALI PENGO IKWIRIR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAJALIWA AWEKA JIWE LA MSINGI LA SEKONDARI YA KARDINALI PENGO IKWIRIR
kiungo : MAJALIWA AWEKA JIWE LA MSINGI LA SEKONDARI YA KARDINALI PENGO IKWIRIR

soma pia


MAJALIWA AWEKA JIWE LA MSINGI LA SEKONDARI YA KARDINALI PENGO IKWIRIR



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Askofu wa Jimbo la Ifakara, Salutaris Libena wakiweka jiwe la msingi la ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo iliyopo Ikwiriri mkoani Pwani, Machi 29, 2019. Wa pili kulia ni Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Fancis wa Asiz Ikwiriri, Padre Disma Kimboi.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Askofu wa Jimbo la Ifakra, Salutarisi Libena baada ya kuweka jiwe la msingi la Shule ya Sekondari ya Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo iliyopo Ikwiriri mkoani Pwani, Machi 29, 2019. Katikati ni Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Mbunge wa Rufiji, Mohamed Mchengerwa ambaye alipewa nafasi ya kusalimia wakati Waziri Mkuu alipoweka jiwe la msingi la ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo iliyopo Ikwiriri Mkoani Pwani Rufiji, Machi 29, 2019. Kushoto ni Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo na wa nne kulia ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Pwani na Mkuu wa Wilaya ya Rufiji, Juma Njwayo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipoweka jiwe la msingi la ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo iliyopo Ikwiriri mkoani Pwani, Machi 29, 2019. Wengine kutoka kulia ni Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, Askofu wa Jimbo la Ifakara, Salutaris Libena na Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Francis wa Asiz Ikwiriri, Padre Dismas Kimboi
Wananchi wakimshangilia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza baada ya kuweka jiwe la msingi la Shule ya Sekondari ya wasichana ya Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo iliyopo Ikwiriri mkoani Pwani, Machi 29, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi baada ya kuweka jiwe la msingi la Shule ya Sekondari ya Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo iliyopo Ikwiriri Mkoani Pwani, Machi 29, 2019
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya wananchi baada ya kuweka jiwe la msingi la Shule ya Sekondari ya Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo iliyopo Ikwiriri mkoani Pwani, Machi 29, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Hivyo makala MAJALIWA AWEKA JIWE LA MSINGI LA SEKONDARI YA KARDINALI PENGO IKWIRIR

yaani makala yote MAJALIWA AWEKA JIWE LA MSINGI LA SEKONDARI YA KARDINALI PENGO IKWIRIR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAJALIWA AWEKA JIWE LA MSINGI LA SEKONDARI YA KARDINALI PENGO IKWIRIR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/03/majaliwa-aweka-jiwe-la-msingi-la.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MAJALIWA AWEKA JIWE LA MSINGI LA SEKONDARI YA KARDINALI PENGO IKWIRIR"

Post a Comment