title : CHADEMA Wazuiwa Kumuaga Mzee Ndesamburo Uwanja wa Mashujaa
kiungo : CHADEMA Wazuiwa Kumuaga Mzee Ndesamburo Uwanja wa Mashujaa
CHADEMA Wazuiwa Kumuaga Mzee Ndesamburo Uwanja wa Mashujaa
Mwambawahabari
Mbunge wa Arusha mjini, Mh. Godbless Jonathan Lema amedai Vyombo vya usalama vimezuia kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Moshi mjini Mh. Philemon Ndesamburo kwenye uwanja wa Mashujaa.
Hatua hiyo inakuja ikiwa tayari maandalizi yameanza kufanywa katika Uwanja wa Mashujaa kwa ajili ya kuuga mwili wa Ndesamburo lakini OCD Moshi amezuia na kusema shughuli hiyo itafanyika Majengo badala ya Mashujaa kuepuka kuzuia shughuli za kila siku.
Hivyo makala CHADEMA Wazuiwa Kumuaga Mzee Ndesamburo Uwanja wa Mashujaa
yaani makala yote CHADEMA Wazuiwa Kumuaga Mzee Ndesamburo Uwanja wa Mashujaa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala CHADEMA Wazuiwa Kumuaga Mzee Ndesamburo Uwanja wa Mashujaa mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/chadema-wazuiwa-kumuaga-mzee-ndesamburo.html
0 Response to "CHADEMA Wazuiwa Kumuaga Mzee Ndesamburo Uwanja wa Mashujaa"
Post a Comment