Picha za utupu za Diane Rwigara anayetaka kuwa Rais Rwanda zavuja

Picha za utupu za Diane Rwigara anayetaka kuwa Rais Rwanda zavuja - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Picha za utupu za Diane Rwigara anayetaka kuwa Rais Rwanda zavuja, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Picha za utupu za Diane Rwigara anayetaka kuwa Rais Rwanda zavuja
kiungo : Picha za utupu za Diane Rwigara anayetaka kuwa Rais Rwanda zavuja

soma pia


Picha za utupu za Diane Rwigara anayetaka kuwa Rais Rwanda zavuja

Picha za utupu za Diane Shima Rwigara zimezagaa katika makundi ya Whatsapp mjini Kigali, Rwanda.

Rwigara, 35, ni msichana ambaye juzi alitangaza nia yake ya kugombea urais katika uchaguzi utakaofanyika Agosti, 2017.

Picha zake za utupu zimetumwa kama barua-pepe kwa vyombo vya habari na mtu aliyejiita Twahirwa Emmy.

Bw Twahirwa amejitambulisha kuwa ni mwandishi wa habari aliyechukizwa na maadili ya mgombea huyo mtarajiwa.

Ingawaje hakuna chombo cha habari kilichorusha picha hizo kufikia sasa, lakini zimekuwa ‘habari ya mjini’ baada ya kutapakaa katika mitandao ya kijamii hususan Whatsapp.

Picha moja inamuonesha msichana huyo akiwa amekaa kwenye sofa nyumbani sehemu isiyojulikana, akiwa hajavaa chupi wala sidiria.

Picha nyingine inamuonesha akiwa amesimama huku ameyashika maziwa yake.

Ni picha ambazo zitakuwa zimepigwa na mtu wake wa karibu kwani inavyoonekana hazijapigwa kipaparazi.

Msichana huyo anaonekana pichani akiwa anamuangalia mpiga picha.Picha ya tatu inawaonesha watu wanne wakiwemo waandishi wa habari watatu wanaojulikana nchini Rwanda.

Mtuma picha ameahidi kutuma nyingine akidai lengo lake ni kuufahamisha umma kuwa mtu anayepiga picha za utupu hafai kupewa dhamana ya kuongoza nchi.

Rwigara ni msichana wa mfanyabiashara mashuhuri Asinapol Rwigara aliyefariki katika ajali ya barabarani mnamo Februari 2015.

Juzi, Jumatano, alitangaza nia yake ya kuwania urais, akiwaahidi Wanyarwanda kupambana na umaskini huku akiupa kipaumbele uhuru wa maoni endapo watamchagua.
Credit: Habari Pevu


Hivyo makala Picha za utupu za Diane Rwigara anayetaka kuwa Rais Rwanda zavuja

yaani makala yote Picha za utupu za Diane Rwigara anayetaka kuwa Rais Rwanda zavuja Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Picha za utupu za Diane Rwigara anayetaka kuwa Rais Rwanda zavuja mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/picha-za-utupu-za-diane-rwigara.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Picha za utupu za Diane Rwigara anayetaka kuwa Rais Rwanda zavuja"

Post a Comment