BALOZI MASIMA AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO KWA RAIS WA TAIFA LA ISRAEL

BALOZI MASIMA AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO KWA RAIS WA TAIFA LA ISRAEL - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BALOZI MASIMA AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO KWA RAIS WA TAIFA LA ISRAEL, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BALOZI MASIMA AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO KWA RAIS WA TAIFA LA ISRAEL
kiungo : BALOZI MASIMA AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO KWA RAIS WA TAIFA LA ISRAEL

soma pia

BALOZI MASIMA AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO KWA RAIS WA TAIFA LA ISRAEL

Mwambawahabari

 Balozi wa Tanzania nchini Israel Mhe. Masima akipokewa kwa nyimbo za taifa baada ya kuwasili kwenye Ikulu ya nchi hiyo mjini Jerusalem kabla ya kuwasilisha hati zake za utambulisho kwa Rais wa taifa hilo Mhe. Reuven Rivlin
Balozi wa Tanzania nchini Israel Mhe. Masima akijitambulisha kwa  Rais wa taifa hilo Mhe. Reuven Rivlin kabla ya kuwasilisha hati zake za utambulisho

Balozi wa Tanzania nchini Israel Mhe. Masima akiwasilisha hati za utambulisho kwa Rais wa Taifa la Israel Mhe. Reuven Rivlin  Ikulu ya nchi hiyo mjini Jerusalem 
Akiwa amevaa baragashia ya kitamaduni ya Kiyahudi maarufu kama “Kippah” Balozi wa Tanzania nchini Israel Mhe. Job Masima akiwasilisha salamu za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  pamoja na kusoma salamu maalumu za mwanzo wa urafiki mpya wa ushirikiano wa karibu kwa ki-Hebrew baada ya kuwasilisha hati za utambulisho kwa Rais wa Taifa la Israel Mhe. Reuven Rivlin  Ikulu ya nchi hiyo mjini Jerusalem.

Balozi wa Tanzania nchini Israel Mhe. Job Masima akikaribishwa rasmi baada ya kuwasilisha salamu za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  pamoja na kusoma salamu maalumu za mwanzo wa urafiki mpya wa ushirikiano wa karibu kwa ki-Hebrew baada ya kuwasilisha hati za utambulisho kwa Rais wa Taifa la Israel Mhe. Reuven Rivlin  Ikulu ya nchi hiyo mjini Jerusalem.
Balozi wa Tanzania nchini Israel Mhe. Job Masima akikaribishwa rasmi kwa toast baada ya kuwasilisha salamu za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  pamoja na kusoma salamu maalumu za mwanzo wa urafiki mpya wa ushirikiano wa karibu kwa ki-Hebrew baada ya kuwasilisha hati za utambulisho kwa Rais wa Taifa la Israel Mhe. Reuven Rivlin  Ikulu ya nchi hiyo mjini Jerusalem.
Balozi wa Tanzania nchini Israel Mhe. Job Masima akiwa katika mazungumzo na Rais wa Taifa la Israel Mhe. Reuven Rivlin  Ikulu ya nchi hiyo mjini Jerusalem.

Hivyo makala BALOZI MASIMA AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO KWA RAIS WA TAIFA LA ISRAEL

yaani makala yote BALOZI MASIMA AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO KWA RAIS WA TAIFA LA ISRAEL Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BALOZI MASIMA AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO KWA RAIS WA TAIFA LA ISRAEL mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/balozi-masima-awasilisha-hati-za_17.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BALOZI MASIMA AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO KWA RAIS WA TAIFA LA ISRAEL"

Post a Comment