title : SERIKALI Yagharamia Msiba wa wa Wanafunzi 32 Waliofariki Arusha
kiungo : SERIKALI Yagharamia Msiba wa wa Wanafunzi 32 Waliofariki Arusha
SERIKALI Yagharamia Msiba wa wa Wanafunzi 32 Waliofariki Arusha
Serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania imegharamia Sanda pamoja na majeneza kwa ajili ya Wanafunzi wa Shule ya Lucky Vicent waliopoteza maisha mapema jana kwenye ajali iliyokuwa ikihusisha safari ya kimasomo.
Akitoa taarifa hiyo leo Meya wa Jiji la Arusha , Mh. Calist Lazaro amesema kuwa taarifa za awali zinaonyesha kuwa tayari Serikali imekwishalipia gharama za majeneza na sanda ya kuhifadhia miili ya marehemu ambao kesho wanatarajiwa kufanyiwa ibada katika Uwanja wa mpira wa Sheikh Amri Abeid.
Hivyo makala SERIKALI Yagharamia Msiba wa wa Wanafunzi 32 Waliofariki Arusha
yaani makala yote SERIKALI Yagharamia Msiba wa wa Wanafunzi 32 Waliofariki Arusha Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SERIKALI Yagharamia Msiba wa wa Wanafunzi 32 Waliofariki Arusha mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/serikali-yagharamia-msiba-wa-wa.html
0 Response to "SERIKALI Yagharamia Msiba wa wa Wanafunzi 32 Waliofariki Arusha"
Post a Comment