Makamu wa Rais kuongoza Waombolezaji leo kuaga Miili ya wanafunzi 32 jijini Arusha

Makamu wa Rais kuongoza Waombolezaji leo kuaga Miili ya wanafunzi 32 jijini Arusha - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Makamu wa Rais kuongoza Waombolezaji leo kuaga Miili ya wanafunzi 32 jijini Arusha, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Makamu wa Rais kuongoza Waombolezaji leo kuaga Miili ya wanafunzi 32 jijini Arusha
kiungo : Makamu wa Rais kuongoza Waombolezaji leo kuaga Miili ya wanafunzi 32 jijini Arusha

soma pia


Makamu wa Rais kuongoza Waombolezaji leo kuaga Miili ya wanafunzi 32 jijini Arusha

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan aliwasili mjini Arusha jana jioni  ambapo leo  ataongoza wananchi wa mkoa wa Arusha na mikoa ya jirani katika kuaga miili ya wanafunzi 32,walimu wawili pamoja na dereva mmoja wa shule ya Lucky Vicent iliyopo Jijini Arusha waliopata ajali juzi tarehe 06-May-2017 katika eneo la Rhotia wilayani Karatu mkoani Arusha.

Wanafunzi na walimu hao walipata ajali hiyo wakati wanaenda kwenye shule  iitwayo Tumaini kwa ajili ya kufanya mitihani wa ujirani mwema baada ya gari walilokuwa wakisafiria kuacha njia na kutumbukia korongoni kwenye eneo la Rhotia wilayani Karatu.

Ibada na dua za kuaga miili ya marehemu hao itafanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha kuanzia Saa Mbili asubuhi hii


Hivyo makala Makamu wa Rais kuongoza Waombolezaji leo kuaga Miili ya wanafunzi 32 jijini Arusha

yaani makala yote Makamu wa Rais kuongoza Waombolezaji leo kuaga Miili ya wanafunzi 32 jijini Arusha Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Makamu wa Rais kuongoza Waombolezaji leo kuaga Miili ya wanafunzi 32 jijini Arusha mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/makamu-wa-rais-kuongoza-waombolezaji.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Makamu wa Rais kuongoza Waombolezaji leo kuaga Miili ya wanafunzi 32 jijini Arusha"

Post a Comment