title : AZANIA BENKI YAPATA FUTARI PAMOJA NA WATEJA WAKE
kiungo : AZANIA BENKI YAPATA FUTARI PAMOJA NA WATEJA WAKE
AZANIA BENKI YAPATA FUTARI PAMOJA NA WATEJA WAKE
Mkurugenzi mkuu wa Benki ya Azania ,Charles Itembe akizungumza na wateja na wafanyakazi wa benki hiyo wakati wa futari iliyoandaliwa na benki yake katika ofisi za Aznia Benki Mawasiliano Tower.
Mkurugenzi mkuu wa Benki ya Azania ,Charles Itembe, akisalimiana na watoto wa kituo cha Yatima cha Vingunguti wakati wa wakati wa futari iliyoandaliwa na benki yake katika ofisi za Azania Benki Mawasiliano Tower.
Mkuu wa kitengo cha Maendeleo ya Biashara Benki ya Azania , Othman Jibrea akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Watoto wa Kituo cha watoto yatima kutoka Vingunguti
Watoto wa kituo cha Watoto Yatima Vingunguti wakipata futari wakati wa futari iliyoandaliwa na benki yake katika ofisi za Azania Benki Mawasiliano Tower,jijini Dar.
Hivyo makala AZANIA BENKI YAPATA FUTARI PAMOJA NA WATEJA WAKE
yaani makala yote AZANIA BENKI YAPATA FUTARI PAMOJA NA WATEJA WAKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala AZANIA BENKI YAPATA FUTARI PAMOJA NA WATEJA WAKE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/azania-benki-yapata-futari-pamoja-na.html
0 Response to "AZANIA BENKI YAPATA FUTARI PAMOJA NA WATEJA WAKE"
Post a Comment