MKURUGENZI MKUU TIC GEOFFREY MWAMBE AWATAHADHARISHA WAWEKEZAJI WENYE NIA MBAYA

MKURUGENZI MKUU TIC GEOFFREY MWAMBE AWATAHADHARISHA WAWEKEZAJI WENYE NIA MBAYA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MKURUGENZI MKUU TIC GEOFFREY MWAMBE AWATAHADHARISHA WAWEKEZAJI WENYE NIA MBAYA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MKURUGENZI MKUU TIC GEOFFREY MWAMBE AWATAHADHARISHA WAWEKEZAJI WENYE NIA MBAYA
kiungo : MKURUGENZI MKUU TIC GEOFFREY MWAMBE AWATAHADHARISHA WAWEKEZAJI WENYE NIA MBAYA

soma pia


MKURUGENZI MKUU TIC GEOFFREY MWAMBE AWATAHADHARISHA WAWEKEZAJI WENYE NIA MBAYA

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Nchini (TIC) Geoffrey Idelphonce Mwambe ametoa tahadhari kwa wawekezaji wote wa nje na ndani ambao hawana nia njema na maendeleo ya taifa kuwa hawana nafasi nchini na kwamba hawatapata fursa yoyote Tanzania.

Mwambe ametoa tahadhari hiyo jana jioni katika kikao kifupi kilichoandaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Singida Dokta Rehema Nchimbi kwa ajili ya kumuaga rasmi Mkurugenzi huyo mara baada ya uteuzi wake ambapo hapo awali alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Manyoni.

Amesema kituo cha uwekezaji kitashirikiana na wawekezaji wenye nia njema tu ila wale ambao wanataka kujinuafiasha wao na kuliacha taifa bila faida yoyote hawatapewa fursa yoyote ya kuwekeza nchini.

Mwambe ameongeza kuwa atahakikisha kuwa wawekezaji wenye ubora na ambao uwekezaji wao unamgusa mtanzania moja kwa moja wanapatikana hasa wale ambao watasaidia kutoa ajira kwa wananchi na kukuza uchumi.

“Nina imani na wawekezaji wadogo ambao nitajitahidi kuwaunganisha na wawekezaji wakubwa ili wakue na wajenge uchumi wa taifa itawasaidia pia hao wawekezaji wadogo watapata uzoefu na hivyo kuwa wawekezaji wakubwa”, amesema.
 Mkurugenzi wa TIC Geoffrey Mwambe (wa kwanza kushoto) akipokea zawadi ya saa kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi (wa kwanza Kulia) katika kikao cha kumuaga, Katikati ni Mkuu wa Wilaya ya Singida Elias Tarimo na Mkuu wa Wilaya Mkalama JacksoN Masaka.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Nchini Geoffrey Mwambe akiwashukuru viongozi wa Mkoa wa Singida kwa ushirikiano katika kikao kifupi cha kumuaga.
 Mkurugenzi wa TIC Geoffrey Mwambe (wa kwanza kushoto) akipokea zawadi ya saa kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi (wa kwanza Kulia) katika kikao cha kumuaga, Katikati ni Mkuu wa Wilaya ya Singida Elias Tarimo na Mkuu wa Wilaya Mkalama JacksoN Masaka.

HABARI ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala MKURUGENZI MKUU TIC GEOFFREY MWAMBE AWATAHADHARISHA WAWEKEZAJI WENYE NIA MBAYA

yaani makala yote MKURUGENZI MKUU TIC GEOFFREY MWAMBE AWATAHADHARISHA WAWEKEZAJI WENYE NIA MBAYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MKURUGENZI MKUU TIC GEOFFREY MWAMBE AWATAHADHARISHA WAWEKEZAJI WENYE NIA MBAYA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/mkurugenzi-mkuu-tic-geoffrey-mwambe.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MKURUGENZI MKUU TIC GEOFFREY MWAMBE AWATAHADHARISHA WAWEKEZAJI WENYE NIA MBAYA"

Post a Comment