DIRISHA LA UFUNGUZI WA LIGI KUU VODACOM AGOSTI 23, NI YANGA VS SIMBA

DIRISHA LA UFUNGUZI WA LIGI KUU VODACOM AGOSTI 23, NI YANGA VS SIMBA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DIRISHA LA UFUNGUZI WA LIGI KUU VODACOM AGOSTI 23, NI YANGA VS SIMBA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DIRISHA LA UFUNGUZI WA LIGI KUU VODACOM AGOSTI 23, NI YANGA VS SIMBA
kiungo : DIRISHA LA UFUNGUZI WA LIGI KUU VODACOM AGOSTI 23, NI YANGA VS SIMBA

soma pia


DIRISHA LA UFUNGUZI WA LIGI KUU VODACOM AGOSTI 23, NI YANGA VS SIMBA

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.

WATANI wa jadi Simba na Yanga watakutana Agosti 23 katika mchezo wa ngao ya hisani ikiashiria ufunguzi msimu mpya wa ligi kuu ya Vodacom 2017/18.

Pazia rasmi la ligi hiyo litafunguliwa Agosti 26 ambapo mechi saba zitachezwa katika viwanja mbalimbali nchini ambapo itamalizika Mei 20 mwakani kwa kupatikana bingwa mpya.

Ofisa Habari wa Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) amewaambia Waandishi wa Habari kuwa mchezo huo wenye kuvuta hisia za mashabiki wengi ndani na nje ya nchi utafanyika kwenye uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

"Mchezo wa ngao ya hisani kati ya Simba na Yanga utafanyika Agosti 23 kwenye uwanja wa Taifa ukiashiria kuanza kwa msimu mpya wa ligi 2017/18 na wiki moja mbele itaanza rasmi," alisema Lucas.

Aidha Lucas amesema miamba hiyo itakutana tena Oktoba 14 katika mchezo wa kwanza wa msimu kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa.

Ratiba ya michezo katika wiki ya kwanza ya ligi hiyo.

Agosti 26
Ndanda vs Azam FC
Mwadui FC vs Singida United
Mtibwa Sugar vs Stand United
Simba vs Ruvu Shooting
Kagera vs Mbao FC
Njombe Mji vs Prisons
Mbeya City vs Majimaji

Agosti 27
Yanga vs Lipuli.




Hivyo makala DIRISHA LA UFUNGUZI WA LIGI KUU VODACOM AGOSTI 23, NI YANGA VS SIMBA

yaani makala yote DIRISHA LA UFUNGUZI WA LIGI KUU VODACOM AGOSTI 23, NI YANGA VS SIMBA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DIRISHA LA UFUNGUZI WA LIGI KUU VODACOM AGOSTI 23, NI YANGA VS SIMBA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/dirisha-la-ufunguzi-wa-ligi-kuu-vodacom.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "DIRISHA LA UFUNGUZI WA LIGI KUU VODACOM AGOSTI 23, NI YANGA VS SIMBA"

Post a Comment