title : Wabunge kutoka Uganda watembelea taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete
kiungo : Wabunge kutoka Uganda watembelea taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete
Wabunge kutoka Uganda watembelea taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete
Mwambawahabari
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Profesa. Mohamed Janabi akipeana mkono na Kiongozi wa Msafara wa baadhi ya Wabunge kutoka Uganda Mhe. Cecilia Barbara wakati wa ziara yao katika Taasisi hiyo kwa lengo la kujifunza leo Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Profesa. Mohamed Janabi akielezea jambo wakati wa ziara ya Wajumbe wa Kamati ya Huduma za Jamii wa Bunge la Uganda waliotembelea Taasisi hiyo leo Jijini Dar es Salaam. Wabunge hao wametembelea Taasisi hiyo ili kujionea namna inavyofanya majukumu yake.
Mwenyekiti wa Kudumu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mussa Zungu akizungumza jambo mbele ya Wabunge kutoka Uganda walipotembelea Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) leo Jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Kiongozi wa Msafara wa Wabunge kutoka Uganda Mhe. Cecilia Barbara na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Profesa. Mohamed Janabi (katikati).
Baadhi ya Wabunge kutoka Uganda wakifuatilia Maelezo kuhusu namna Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) inavyofanya kazi wakati wa ziara yao katika Taasisi hiyo leo Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wabunge kutoka Uganda wakiwa katika sehemu ya mapokezi ya kuingia Wodi ya Watoto katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) leo Jijini Dar es Salaam.
Hivyo makala Wabunge kutoka Uganda watembelea taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete
yaani makala yote Wabunge kutoka Uganda watembelea taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Wabunge kutoka Uganda watembelea taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/wabunge-kutoka-uganda-watembelea.html
0 Response to "Wabunge kutoka Uganda watembelea taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete"
Post a Comment