WANANCHI WATEMBELEA BANDA LA JESHI LA MAGEREZA KATIKA MAONESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA YANAYOENDELEA JIJINI DAR ES SALAAM

WANANCHI WATEMBELEA BANDA LA JESHI LA MAGEREZA KATIKA MAONESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA YANAYOENDELEA JIJINI DAR ES SALAAM - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WANANCHI WATEMBELEA BANDA LA JESHI LA MAGEREZA KATIKA MAONESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA YANAYOENDELEA JIJINI DAR ES SALAAM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WANANCHI WATEMBELEA BANDA LA JESHI LA MAGEREZA KATIKA MAONESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA YANAYOENDELEA JIJINI DAR ES SALAAM
kiungo : WANANCHI WATEMBELEA BANDA LA JESHI LA MAGEREZA KATIKA MAONESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA YANAYOENDELEA JIJINI DAR ES SALAAM

soma pia


WANANCHI WATEMBELEA BANDA LA JESHI LA MAGEREZA KATIKA MAONESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA YANAYOENDELEA JIJINI DAR ES SALAAM

Mwambawahabari
ge1
Wakazi wa jijini Dar es Salaam waliotembelea Banda la Jeshi la Magereza, wakiangalia nafaka mbalimbali zinazolimwa katika mashamba ya Magereza nchinikwenye Maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa, yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere,Barabara ya Kilwa,jijini Dar es Salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
ge2
Askari wa Jeshi la Magereza,Happy Kweka, akiwaonyesha vitambaa vinavyotengenezwa na jeshi hilo wakazi waliotembelea Banda la jeshi hilo katika Maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere,Barabara ya Kilwa,jijini Dar es Salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
ge3
Wakazi wa jijini Dar es Salaam waliotembelea Banda la Jeshi la Magereza, wakiangalia vikapu vinavyotengenezwa katika viwanda vya ufumaji vya Magereza nchini kwenye Maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa, yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere,Barabara ya Kilwa,jijini Dar es Salaam.Kulia ni askari wa  jeshi hilo,Issah Ramadhan. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
ge4
Askari wa Jeshi la Magereza, Stesheni Sajenti, Elizei Naje aliyepo sehemu ya mapokezi katika Banda la jeshi hilo akiwa amekaa kwenyemoja ya samani (meza na viti) ambavyo hutengenezwa katika viwanda vya jeshi hilo katika Maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere,Barabara ya Kilwa,jijini Dar es Salaam. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
ge5
Baadhi ya Samani zinazopatikana katika Banda la Jeshi la Magerezakwenye Maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa, yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere,Barabara ya Kilwa,jijini Dar es Salaam. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
ge6 ge7


Hivyo makala WANANCHI WATEMBELEA BANDA LA JESHI LA MAGEREZA KATIKA MAONESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA YANAYOENDELEA JIJINI DAR ES SALAAM

yaani makala yote WANANCHI WATEMBELEA BANDA LA JESHI LA MAGEREZA KATIKA MAONESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA YANAYOENDELEA JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WANANCHI WATEMBELEA BANDA LA JESHI LA MAGEREZA KATIKA MAONESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA YANAYOENDELEA JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/wananchi-watembelea-banda-la-jeshi-la_12.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WANANCHI WATEMBELEA BANDA LA JESHI LA MAGEREZA KATIKA MAONESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA YANAYOENDELEA JIJINI DAR ES SALAAM"

Post a Comment