Koigi ajiunga na NASA

Koigi ajiunga na NASA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Koigi ajiunga na NASA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Koigi ajiunga na NASA
kiungo : Koigi ajiunga na NASA

soma pia


Koigi ajiunga na NASA

Mwanasiasa mkongwe koigi Wa wamwere amejiunga na muungano Wa national super alliance mwanasiasa huyu ambaye awali alikuwa akipigania kiti cha useneta kaunti ya Nakuru na kisha kufeli kupata tikiti Katika uchanguzi Wa mchujo  ametangaza Leo kuwa amehamia muungano huo Wa NASA akizunguma na wanahabari alipopekelewa rasmi na mwaniaji Wa urais katika muungano huo Wa NASA koigi alielezea imani yake kuhusiana na muungano Wa NASA japo wadadisi Wa kisiasa wanataja kuwa mwanasiasa huyu anaushawishi Mkubwa ikizingatia aliburura mkia katika kura  ya mchujo akishindwa na mwanawe mwanasiasa kimani kihika , Susan kihika , itakumbukwa pia kimani kihika aliwahi mshindi koigi katika uchaguzi mkuu " NASA ni kundi LA washindi


Na Erick Mutinda 

Facebook:Erick Mutinda

KENYA


Hivyo makala Koigi ajiunga na NASA

yaani makala yote Koigi ajiunga na NASA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Koigi ajiunga na NASA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/koigi-ajiunga-na-nasa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Koigi ajiunga na NASA"

Post a Comment