KESI UTAKATISHAJI FEDHA DHIDI YA ALIYEKUWA MHASIBU TAKUKURU YAKWAMA

KESI UTAKATISHAJI FEDHA DHIDI YA ALIYEKUWA MHASIBU TAKUKURU YAKWAMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KESI UTAKATISHAJI FEDHA DHIDI YA ALIYEKUWA MHASIBU TAKUKURU YAKWAMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KESI UTAKATISHAJI FEDHA DHIDI YA ALIYEKUWA MHASIBU TAKUKURU YAKWAMA
kiungo : KESI UTAKATISHAJI FEDHA DHIDI YA ALIYEKUWA MHASIBU TAKUKURU YAKWAMA

soma pia


KESI UTAKATISHAJI FEDHA DHIDI YA ALIYEKUWA MHASIBU TAKUKURU YAKWAMA

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii

KESI  ya utakatishaji fedha na kumiliki mali zisizolingana na kipato chake halali, inayomkabili aliyekuwa Mhasibu Mkuu wa Takukuru, Godfrey Gugai na wenzake wanne, imeshindwa kuendelea kusikilizwa  sababu, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu haina hela ya kuwaleta mashahidi.

Wakili wa Serikali, Pius Hila akisaidiana na wakili kutoka Takukuru, Vitalis Peter ameeleza hayo, leo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama hiyo, Thomas Simba,  kesi hiyo ilipokuja kwa ajili ya kuendelea kusikilizwa.

Wakili Hilla amedai walishaita mashihidi  kutoka nje ya Mkoa wa Dar es Salaam lakini wameshindwa kufika kwa kuwa Mtendaji wa Mahakama hakuwa na fungu la  fedha, kwa  ajili ya kuwalipa.Ameendela kueleza kwa sasa wamepata  kibali kutoka kwa  Mtendaji wa Mahakama ambacho kinawaelezea kuwa malipo yatasubiri fedha zitakapoingia lakini mashahidi wameshindwa kuja kwa  gharama zao wenyewe.

"Mheshimiwa hakimu kutokana na hali hiyo, tunaomba terehe fupi kwa ajili ya kuendelea na usikilizwaji wa kesi hii," ameeleza Hilla.Kutokana na maelezo hayo, Wakili wa Utetezi Alex Mgongolwa aliwasilisha maombi mawili mahakamani hapo.

,"Mheshimwa, tunaomba jitihada za kuwapata mashahidi hao waliopo nje ya mkoa wa Dar rs Salaam ziendelee na pia  ni rai yetu kwa  mahakama upande wa mashtaka walete mashahidi ambao hawahitaji kuombewa kibali na hawatoki nje ya mkoa wa Dar es salaam ili Kesi hii iweze kuendelea," amedai Wakili Mgongolwa.



Hivyo makala KESI UTAKATISHAJI FEDHA DHIDI YA ALIYEKUWA MHASIBU TAKUKURU YAKWAMA

yaani makala yote KESI UTAKATISHAJI FEDHA DHIDI YA ALIYEKUWA MHASIBU TAKUKURU YAKWAMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KESI UTAKATISHAJI FEDHA DHIDI YA ALIYEKUWA MHASIBU TAKUKURU YAKWAMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/kesi-utakatishaji-fedha-dhidi-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "KESI UTAKATISHAJI FEDHA DHIDI YA ALIYEKUWA MHASIBU TAKUKURU YAKWAMA"

Post a Comment