WAZIRI MWAKYEMBE AAGIZA UCHAGUZI CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI ZA MICHEZO USIMAMISHWE,ATAKA KATIBA IPITIWE UPYA

WAZIRI MWAKYEMBE AAGIZA UCHAGUZI CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI ZA MICHEZO USIMAMISHWE,ATAKA KATIBA IPITIWE UPYA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MWAKYEMBE AAGIZA UCHAGUZI CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI ZA MICHEZO USIMAMISHWE,ATAKA KATIBA IPITIWE UPYA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MWAKYEMBE AAGIZA UCHAGUZI CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI ZA MICHEZO USIMAMISHWE,ATAKA KATIBA IPITIWE UPYA
kiungo : WAZIRI MWAKYEMBE AAGIZA UCHAGUZI CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI ZA MICHEZO USIMAMISHWE,ATAKA KATIBA IPITIWE UPYA

soma pia


WAZIRI MWAKYEMBE AAGIZA UCHAGUZI CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI ZA MICHEZO USIMAMISHWE,ATAKA KATIBA IPITIWE UPYA

Na Bakari Madjeshi, Globu ya Jamii

WAZIRI wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe amekutana na kufanya mazungumzo na  waandishi wa habari za michezo ambapo wametumia muda mwingi kujadili mwenendo wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo nchini (TASWA).

Akizungumza na Waandishi hao, Dkt. Mwakyembe ameliagiza Baraza la Michezo nchini (BMT) kusimamisha Uchaguzi wa TASWA unaotarajiwa kufanyika Novemba ya mwaka huu.

Dkt. Mwakyembe ameiagiza BMT kuita uongozi wa TASWA na Uongozi wa Vijana ambao hawana Uanachama wa Chama hicho kukaa pamoja kujadiliana changamoto zinazokikabili Chama hicho.

"Uchaguzi wa TASWA usimamishwe na mkae pamoja mzungumze kuhusu Katiba ya Chama hicho ili baadae mpate uongozi ulio imara kwa maslahi ya waandishi wa habari za michezo nchini", amesema Dkt. Mwakyembe.

Katika hatua nyingine, Dkt. Mwakyembe amesema Wizara yake iko katika mikakati yakuboresha mazingira, ikiwa kuhakikisha kila .wandishi anakuwa na Bima itakayomlinda katika mslahi yake.

Pia kuunda Baraza la Habari (Media Council), Chombo cha Idhibati, Kamati ya Malalamiko itakayokuwa na Mamlaka ya Mahakama pamoja na Mfuko wa Wanahabari kwa ajili ya Mafunzo kwa Wanahabari.

Kwa kukumbusha TASWA iliundwa mwaka 1977 chini ya Sheria za Baraza la Michezo la Taifa (BMT).


Hivyo makala WAZIRI MWAKYEMBE AAGIZA UCHAGUZI CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI ZA MICHEZO USIMAMISHWE,ATAKA KATIBA IPITIWE UPYA

yaani makala yote WAZIRI MWAKYEMBE AAGIZA UCHAGUZI CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI ZA MICHEZO USIMAMISHWE,ATAKA KATIBA IPITIWE UPYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MWAKYEMBE AAGIZA UCHAGUZI CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI ZA MICHEZO USIMAMISHWE,ATAKA KATIBA IPITIWE UPYA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/waziri-mwakyembe-aagiza-uchaguzi-chama.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WAZIRI MWAKYEMBE AAGIZA UCHAGUZI CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI ZA MICHEZO USIMAMISHWE,ATAKA KATIBA IPITIWE UPYA"

Post a Comment