WAPANDISHWA KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA KUHARIBU FEDHA ZA BENKI KUU YA TANZANIA

WAPANDISHWA KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA KUHARIBU FEDHA ZA BENKI KUU YA TANZANIA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAPANDISHWA KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA KUHARIBU FEDHA ZA BENKI KUU YA TANZANIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAPANDISHWA KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA KUHARIBU FEDHA ZA BENKI KUU YA TANZANIA
kiungo : WAPANDISHWA KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA KUHARIBU FEDHA ZA BENKI KUU YA TANZANIA

soma pia


WAPANDISHWA KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA KUHARIBU FEDHA ZA BENKI KUU YA TANZANIA

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii

VIJANA 7 wa umri wa miaka 21 hadi 24, leo wamepandishwa katika kizimba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kosa la kuharibu Noti za Benki Kuu ya Tanzania (B.O.T) za Shilingi 70,000 kwa kuzikanyaga.

Mwendesha mashtaka Wakili wa Serikali Mwanaamina Kombakono amewataja washtakiwa hao kuwa ni, Vicent Kaduma (24), Rogers Swale (23 ), Doreen Mwenisongole (22) ni mwanafunzi, Kelvin Mngeyekwa 23, Eia Chengula 24 mfanyabiashara, Said Sadiq 21 na Ramadhan Seleman 23.

Akisoma hati ya mashtaka, chini ya kifungu cha 332 A cha kanuni ya adhabu, mbele ya Hakimu Mkazi Wanjah Hamza wakili Kombakono amedai kuwa washtakiwa wanakabiliwa na kosa moja la kuharibu noti za BoT.

Imedaiwa, Septemba 16 mwaka 2018 washtakiwa hao wakiwa jijini Dar es Salaam, pasipokuwa na mamlaka waliharibu noti za Sh.70,000 ambazo noti moja ilikuwa na thamani ya Sh. 10,000.Hata hivyo, washtakiwa wamekana kutenda kosa hilo na kwa mujibu wa upande wa mashtaka, upelelezi wa kesi hiyo bado haujakamilika.

Hata hivyo, washtakiwa hao wako nje kwa dhamana baada ya mahakama kupatiwa masharti ya dhamana ya kuwa na wadhamini 2 waaminifu waliosaini bondi ya Shilingi Milioni 2 kila mmoja. 

Kesi imeahirishwa hadi Novemba 11 mwaka 2018.
Pichani juu na chini ni baadhi ya watuhumiwa wakipandishwa kwenye kizimba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kosa la kuharibu Noti za Benki Kuu ya Tanzania (B.O.T) za Shilingi 70,000 kwa kuzikanyaga.



Hivyo makala WAPANDISHWA KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA KUHARIBU FEDHA ZA BENKI KUU YA TANZANIA

yaani makala yote WAPANDISHWA KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA KUHARIBU FEDHA ZA BENKI KUU YA TANZANIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAPANDISHWA KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA KUHARIBU FEDHA ZA BENKI KUU YA TANZANIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/wapandishwa-kizimbani-kwa-tuhuma-za.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WAPANDISHWA KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA KUHARIBU FEDHA ZA BENKI KUU YA TANZANIA"

Post a Comment