title : Mbugua asalimu amri
kiungo : Mbugua asalimu amri
Mbugua asalimu amri
Baada ya kutokea kwa matokeo ya mchujo ya eneo bunge ya kAmkunji iliyomweka mbunge wa zamani Simon Mbugua kileleni mbunge Wa sasa Yusuf hassan alipinga matokeo hayo akidai kuwa kura ziliibwa na hata kupeleka ushahidi mbele ya bodi inayosuluhisha mzozo Wa mchujo akiwa na imani kuwa matokeo itabatilishwa kulingana na matumaini yake lakini kile kinachoonekana kuwa kushawishiwa mbugu ametupilia azma yake kwa mapendeleo ya mbunge Wa sasa japo mbunge Yusuf amepinga kuwa kutupilia kwa azma yake Mbugua ni kutokana na makubaliano yeyote ila anadai kuwa alishinda na basi Mbugua hakuwa na budi ila kusalimu amri.
Na Erick Mutinda
Facebook:Erick Mutinda
KENYA
Hivyo makala Mbugua asalimu amri
yaani makala yote Mbugua asalimu amri Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mbugua asalimu amri mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/mbugua-asalimu-amri.html
0 Response to "Mbugua asalimu amri"
Post a Comment