Balozi Mahiga afungua mkutano wa kuwajengea uwelewa, wajasiriamali na wafanyabiashara kuifahamu EAC

Balozi Mahiga afungua mkutano wa kuwajengea uwelewa, wajasiriamali na wafanyabiashara kuifahamu EAC - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Balozi Mahiga afungua mkutano wa kuwajengea uwelewa, wajasiriamali na wafanyabiashara kuifahamu EAC, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Balozi Mahiga afungua mkutano wa kuwajengea uwelewa, wajasiriamali na wafanyabiashara kuifahamu EAC
kiungo : Balozi Mahiga afungua mkutano wa kuwajengea uwelewa, wajasiriamali na wafanyabiashara kuifahamu EAC

soma pia


Balozi Mahiga afungua mkutano wa kuwajengea uwelewa, wajasiriamali na wafanyabiashara kuifahamu EAC

 WAJASIRIAMALI, wafanyabiashara, watendaji wa taasisi za fedha, wakisiliza mada kadhaa kwenye mkutano maalum wa kuwajengea uwelewa juu ya Jumuia ya Afrika Mashariki, uliofanyika ukumbi wa michezo Gombani Chakechake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
 WAJASIRIAMALI, wafanyabiashara, watendaji wa taasisi za fedha, wakisiliza mada kadhaa kwenye mkutano maalum wa kuwajengea uwelewa juu ya Jumuia ya Afrika Mashariki, uliofanyika ukumbi wa michezo Gombani Chakechake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
 NAIBU Waziri anaeshughulikia Utumishi wa umma na utawala bora Zanzibar, Khamis Juma Maalim, akitoa salamu za SMZ, kwenye mkutano wa siku nne wa kujengewa uwelewa kwa wajasiriamali na wafanyabiashara, juu ya mtangamano wa Jumuia ya Afrika Mashariki, uliofanyika Gombani Chake chake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
 WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Augustine Mahiga, akifungua mkutano wa siku nne wa kuwajengea uwelewa, wajasiriamali na wafanyabiashara, mkutano uliofanyika Gombani Chake chake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
PICHA ya pamoja baina ya wafanyabiashara, wajasiriamali, watendaji wa taasisi za fedha kisiwani Pemba wakiwa na waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Augustine Mahiga, mara baada ya kufungua mkutano wa siku nne, juu ya kuwajengea uwezo wajasiriamali kuhusu kuiwelewa Jumuia ya Afrika Mashariki, mkutano uliofanyika uwanja wa michezo Gombani Chake chake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).


Hivyo makala Balozi Mahiga afungua mkutano wa kuwajengea uwelewa, wajasiriamali na wafanyabiashara kuifahamu EAC

yaani makala yote Balozi Mahiga afungua mkutano wa kuwajengea uwelewa, wajasiriamali na wafanyabiashara kuifahamu EAC Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Balozi Mahiga afungua mkutano wa kuwajengea uwelewa, wajasiriamali na wafanyabiashara kuifahamu EAC mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/balozi-mahiga-afungua-mkutano-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Balozi Mahiga afungua mkutano wa kuwajengea uwelewa, wajasiriamali na wafanyabiashara kuifahamu EAC"

Post a Comment