EFM REDIO YAMTUNZA MAMA

EFM REDIO YAMTUNZA MAMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa EFM REDIO YAMTUNZA MAMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : EFM REDIO YAMTUNZA MAMA
kiungo : EFM REDIO YAMTUNZA MAMA

soma pia


EFM REDIO YAMTUNZA MAMA

Katika kuazimisha siku ya mama duniani Efm redio kupitia kipindi chake cha uhondo wametoa zawadi kwa  wakina mama wa wasikilizaji wao katika tafrija fupi iliopewa jina la “Begi la mama”

Tafrija hiyo ilifanyika katika ofisi za efm redio siku ya jana kuanzia saa 6:00 mchana hadi saa 9:00 Alasiri.  Begi la mama lilitolewa kwa wakina mama 15 ambao stori zao ziliandikwa na watoto wao na kuonekana kugusa mioyo ya wasikilizaji wengi kwa yale magumu waliopitia.
  Mtayarishaji wa kipindi cha uhondo Asha manga akipeleka begi la mama likiwa limejaa zawadi kem kem
 Timu nzima ya kipindi cha Uhondo ikiongozwa na Dina Marios wakimtunza mama nguo kutoka katika begi.
 Muda wa chakula ukafika.
 Mtangazaji wa kipindi cha uhondo akimuhoji mshindi ambae alikuja na mama yake kwaajili ya kuzawadiwa begi hilo.
 Mama akiwa kashikilia zawadi alizotunzwa na Efm redio.
 Timu nzima ya kipindi cha uhondo ikiongozwa na Dina Marios mstari wa pili (wakwanza kushoto) akifatiwa na Sofia Amani, Leah Chambo, Rdj Con wengine ni Bi, Hindu, Swebe Santana, Asha manga, na wengineo.



Hivyo makala EFM REDIO YAMTUNZA MAMA

yaani makala yote EFM REDIO YAMTUNZA MAMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala EFM REDIO YAMTUNZA MAMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/efm-redio-yamtunza-mama.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "EFM REDIO YAMTUNZA MAMA"

Post a Comment