title : Uhuru Kenyatta Aapishwa Rasmi Kuwa Rais wa Kenya
kiungo : Uhuru Kenyatta Aapishwa Rasmi Kuwa Rais wa Kenya
Uhuru Kenyatta Aapishwa Rasmi Kuwa Rais wa Kenya
Hatimaye Rais Uhuru Kenyatta ameapishwa rasmi kwa muhula wa pili wa miaka mitano katika sherehe zilizofana kwenye Uwanja wa Kasarani mwezi mmoja baada ya kuibuka mshindi wa uchaguzi uliosusiwa na mpinzani mkuu Raila Odinga.
Kulikuwa na nderemo na shangwe katika uwanja huo kutoka kwa maelfu ya wananchi wengi wao wafuasi wa muungano wa chama tawala cha Jubilee waliojaa kwenye Uwanja wa Michezo wa Kimataifa wa Moi, Kasarani.
Uwanja huo unaingiza watu 60,000 lakini habari zinasema walioingia walikuwa 100,000. Wageni waalikwa na watu mashuhuri wapatao 40 walihudhuria sherehe hizo wakiwemo zaidi ya viongozi wakuu wa nchi 10.
Kenyatta, 55, alishinda uchaguzi mkuu wa marudio wa Oktoba 26 kwa asilimia 98. Uchaguzi huo ulifanyika baada ya matokeo ya ushindi wa Agosti 8 kufutwa na Mahakama ya Juu kwa maombi ya Odinga aliyewasilisha ushahidi wa dosari na ukiukwaji wa katiba.
Hivyo makala Uhuru Kenyatta Aapishwa Rasmi Kuwa Rais wa Kenya
yaani makala yote Uhuru Kenyatta Aapishwa Rasmi Kuwa Rais wa Kenya Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Uhuru Kenyatta Aapishwa Rasmi Kuwa Rais wa Kenya mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/uhuru-kenyatta-aapishwa-rasmi-kuwa-rais.html
0 Response to "Uhuru Kenyatta Aapishwa Rasmi Kuwa Rais wa Kenya"
Post a Comment