Pesa ya Kumsaidia Dudu Baya Ninayo, Najua Hayuko Vizuri- Mr Nice

Pesa ya Kumsaidia Dudu Baya Ninayo, Najua Hayuko Vizuri- Mr Nice - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Pesa ya Kumsaidia Dudu Baya Ninayo, Najua Hayuko Vizuri- Mr Nice, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Pesa ya Kumsaidia Dudu Baya Ninayo, Najua Hayuko Vizuri- Mr Nice
kiungo : Pesa ya Kumsaidia Dudu Baya Ninayo, Najua Hayuko Vizuri- Mr Nice

soma pia


Pesa ya Kumsaidia Dudu Baya Ninayo, Najua Hayuko Vizuri- Mr Nice


Msanii wa muziki wa Bongo Flava, Mr. Nice amesema anajua kwa sasa Dudu Baya ana hali mbaya ila kama msanii huyo anatajitokeza yeye yupo tayari kumsaidia ili aweze kuendelea na muziki wake.

Muimbaji huyo ambaye kipindi cha nyuma alikuwa na ugomvi mkubwa na Dudu Baya, ameiambia E-Newz ya EATV kuwa anapoishi nchini Kenya amekuwa akisaidia watu wengi hivyo hataona tabu kufanya hivyo kwa Dudu Baya.

“Napenda kumpa salamu nyingi, napenda kumuombea kwa Mungu abadilike amekua mtu mzima sasa fanye muziki. Ajitokeze afanye muziki na mimi nipo tayari kumsapoti kwa sababu hata pesa ya kumsaidia Dudu Baya ninayo, najua hayuko vizuri, hivyo naweza kumsaidia” amesema Mr. Nice.

Hata hivyo amesema kuwa msaada huo ni hadi pale atakapokidhi vigezo na masharti na kuongeza kuwa kitendo cha Dudu Baya kumfuata jukwaani kipindi cha nyuma na kumpiga kimefanya watu wengi kumuogopa na kushindwa hata kumsaidia pindi anapokuwa na shida. 


Hivyo makala Pesa ya Kumsaidia Dudu Baya Ninayo, Najua Hayuko Vizuri- Mr Nice

yaani makala yote Pesa ya Kumsaidia Dudu Baya Ninayo, Najua Hayuko Vizuri- Mr Nice Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Pesa ya Kumsaidia Dudu Baya Ninayo, Najua Hayuko Vizuri- Mr Nice mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/pesa-ya-kumsaidia-dudu-baya-ninayo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Pesa ya Kumsaidia Dudu Baya Ninayo, Najua Hayuko Vizuri- Mr Nice"

Post a Comment