title : KINYWAJI CHA VIMTO RASMI KUZALISHWA NCHINI NA KAMPUNI YA BAKHRESA
kiungo : KINYWAJI CHA VIMTO RASMI KUZALISHWA NCHINI NA KAMPUNI YA BAKHRESA
KINYWAJI CHA VIMTO RASMI KUZALISHWA NCHINI NA KAMPUNI YA BAKHRESA
Na Khadija Seif, Globu ya Jamii
KAMPUNI ya Said Salim bakhresa imeingia makubaliano ya kibiashara na kampuni ya Nichol PLC kwa ajili ya uzalishaji wa kinywaji cha Vimto.
Mwakilishi kutoka kampuni ya Nichol PLC, Robert Hammersley amesema ni matumaini kuwa makubaliano hayo yataongeza pato la taifa kupitia uzalishaji wa kinywaji hicho cha Vimto.
Pia ameeleza kuwa ni wakati wa kuburudika na kinywaji hicho kutokana na kuzalishwa hapa nchini kwa sasa.
"Kinywaji cha Vimto kinaburudisha na hakina madhara na kinaweza kutumiwa kwa rika lolote ," alisema Hammersley.
Kwa upande wake Mwenyekiti wa Kampuni ya Bakhresa, Said Salim amesema makubaliano hayo ni fursa kubwa kwa nchi pamoja na kampuni ambayo imepata ikiwa ni ishara tosha kwa ubora wa bidhaa unazingatiwa kwa hali ya juu.
Aidha, kinywaji cha vimto kinatambulika ulimwenguni kote kinachopatikana katika vionjo kama vile soda ,juisi na peremende .
"Kwa sasa kinywaji cha Vimto kitazalishwa hapa nchini na kuuzwa kwa bei nafuu ili kuwafikia wanywajwi wote,"
Hata hivyo salim ametoa rai kwa wazalishaji wote wa bidhaa mbalimbali kuboresha bidhaa zao ili waweze kupata mikataba na masoko ya nje ya nchi.
Hivyo makala KINYWAJI CHA VIMTO RASMI KUZALISHWA NCHINI NA KAMPUNI YA BAKHRESA
yaani makala yote KINYWAJI CHA VIMTO RASMI KUZALISHWA NCHINI NA KAMPUNI YA BAKHRESA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KINYWAJI CHA VIMTO RASMI KUZALISHWA NCHINI NA KAMPUNI YA BAKHRESA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/04/kinywaji-cha-vimto-rasmi-kuzalishwa.html
0 Response to "KINYWAJI CHA VIMTO RASMI KUZALISHWA NCHINI NA KAMPUNI YA BAKHRESA"
Post a Comment