WAZIRI DK. HARISSON MWAKYEMBE: SIJAFUTA MASHINDANO YA MISS TANZANIA NA TUZO ZA MUZIKI

WAZIRI DK. HARISSON MWAKYEMBE: SIJAFUTA MASHINDANO YA MISS TANZANIA NA TUZO ZA MUZIKI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI DK. HARISSON MWAKYEMBE: SIJAFUTA MASHINDANO YA MISS TANZANIA NA TUZO ZA MUZIKI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI DK. HARISSON MWAKYEMBE: SIJAFUTA MASHINDANO YA MISS TANZANIA NA TUZO ZA MUZIKI
kiungo : WAZIRI DK. HARISSON MWAKYEMBE: SIJAFUTA MASHINDANO YA MISS TANZANIA NA TUZO ZA MUZIKI

soma pia


WAZIRI DK. HARISSON MWAKYEMBE: SIJAFUTA MASHINDANO YA MISS TANZANIA NA TUZO ZA MUZIKI

Mwambawahabari

Mwakyembe+picha
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Mh. Dk Harisson Mwakyembe amesema hajayafuta mashindano ya Miss Tanzania na Tuzo za muziki ila kilichopo ni kwamba Mashindano hayo Yanaanzishwa na kujifuta yenyewe kutokana na kushindwa kufanyika kwa wakati na mwendelezo kwa sababu mbalimbali za waandaaji kushindwa kuyaandaa mashindano hayo.
Waziri Mwakyembe ameyasema hayo kwa njia ya Simu wakati akizungumza na Fullshangwe iliyotaka kupata ufafanuzi kuhusiana na  uvumi uliokuwa ukisambaa  kwenye mitandao ya kijamii kwamba amefuta mashindano hayo na tuzo za muziki.
Ameongeza kwamba ameelekeza Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa (BASATA) Bw. Godfrey Mungerezakuliangalia suala hilo na kulitolea ufafanuzi kulingana na changamoto zilizopo kwani ni muhimu tukawa na Tuzo na mashindano yenye Muendelezo, Tija na yenye kutoa zawadi kwa washindi kadiri zawadi hizo zilivyopangwa.


Hivyo makala WAZIRI DK. HARISSON MWAKYEMBE: SIJAFUTA MASHINDANO YA MISS TANZANIA NA TUZO ZA MUZIKI

yaani makala yote WAZIRI DK. HARISSON MWAKYEMBE: SIJAFUTA MASHINDANO YA MISS TANZANIA NA TUZO ZA MUZIKI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI DK. HARISSON MWAKYEMBE: SIJAFUTA MASHINDANO YA MISS TANZANIA NA TUZO ZA MUZIKI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/waziri-dk-harisson-mwakyembe-sijafuta.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI DK. HARISSON MWAKYEMBE: SIJAFUTA MASHINDANO YA MISS TANZANIA NA TUZO ZA MUZIKI"

Post a Comment