Watoto Mapacha wa Msanii Diamond Platnums Kutoka Burundi hawa hapa

Watoto Mapacha wa Msanii Diamond Platnums Kutoka Burundi hawa hapa - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Watoto Mapacha wa Msanii Diamond Platnums Kutoka Burundi hawa hapa, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Watoto Mapacha wa Msanii Diamond Platnums Kutoka Burundi hawa hapa
kiungo : Watoto Mapacha wa Msanii Diamond Platnums Kutoka Burundi hawa hapa

soma pia


Watoto Mapacha wa Msanii Diamond Platnums Kutoka Burundi hawa hapa

Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni, wakati sakata la mwanamitindo, Hamisa Mobeto, kuzaa na mzazi mwenziye Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, likiwa bado bichi kabisa na halijafutika akilini mwa watu, mwanamke mwingine kutoka Burundi ameibuka na kudai ana watoto mapacha wa mwanamuziki huyo.
Ishu hiyo imeanzia mitandaoni baada ya mwanamke huyo anayefahamika kwa jina la Jesca, kuposti picha ya Zari anayedai alikuwa shoga ake, na kumshushia kichambo ‘hevi’, huku akimtuhumu kuwa alimpora mwanamuziki huyo, kwani mara ya kwanza alikuwa ni wake na yeye alikuwa akimuita shemeji.
Baada ya kumchamba Zari, akaposti tena picha yake akiwa na watoto wake mapacha anaodai kuzaa na mzazimwenziye Zari, akimuomba aje awachukue watoto wake.
Mpaka sasa bado mwanamuziki huyo ambaye ni baba watatu kwa sasa, hajathibitisha kuwa anamfahamu mwanamke huyo na hao watoto ni wa kwake kweli.
NA ISRI MOHAMED/GPL


Hivyo makala Watoto Mapacha wa Msanii Diamond Platnums Kutoka Burundi hawa hapa

yaani makala yote Watoto Mapacha wa Msanii Diamond Platnums Kutoka Burundi hawa hapa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Watoto Mapacha wa Msanii Diamond Platnums Kutoka Burundi hawa hapa mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/watoto-mapacha-wa-msanii-diamond.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Watoto Mapacha wa Msanii Diamond Platnums Kutoka Burundi hawa hapa"

Post a Comment