title : WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA PETER MOLLEL BUNGENI
kiungo : WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA PETER MOLLEL BUNGENI
WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA PETER MOLLEL BUNGENI
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na wabunge wakifurahia katika mazungumzo na Peter Mollel maarufu kwa jina la Pierre Konki Liquid (katikati) kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Aprili 3, 2019. Wengine kutoka kushoto ni Mbunge wa Viti Maalum, Mariamu Ditopile, Mbunge wa Viti Maalum, Munde Tambwe, Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais na Mbunge wa Singida Mjini, Mussa Sima, Mbunge wa Kiembesamaki, Ibrahim Raza na Mbunge wa Singida Magharibi, Elibariki Kingu (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA PETER MOLLEL BUNGENI
yaani makala yote WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA PETER MOLLEL BUNGENI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA PETER MOLLEL BUNGENI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/04/waziri-mkuu-majaliwa-akutana-na-peter.html
0 Response to "WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA PETER MOLLEL BUNGENI"
Post a Comment