title : SIMBA SC YAZOA MILIONI 50 SPORTPESA
kiungo : SIMBA SC YAZOA MILIONI 50 SPORTPESA
SIMBA SC YAZOA MILIONI 50 SPORTPESA

Simba SC kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram, imethibitisha kuwa SportPesa kutoa kiasi cha pesa cha 50,000,000/= kama pongezi baada yakutinga hatua ya Robo Fainali ya Michuano hiyo mikubwa barani Afrika kwa ngazi ya klabu.
Taarifa hiyo imesema: "Mkurugenzi wa Utawala na Udhibiti wa Sportpesa, Tarimba Abbas ameipongeza timu hiyo kutinga hatua ya Robo Fainali ya Michuano ya CAF ambapo amethibitishwa kuwa Kampuni hiyo itakabidhi kiasi cha Tsh 50,000,000/= kama zawadi Kimkataba".
Simba SC ilifuzu hatua hiyo baada yakuifunga AS Vita lub bao 2-1 kwenye dimba la Uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam, hata hivyo Mnyama atasubiri droo ya Robo Fainali ya Michuano hiyo itakayopangwa majira ya Saa 2 Usiku, nchini Misri kujua anakabitiana na nani katika Robo Fainali.

Hivyo makala SIMBA SC YAZOA MILIONI 50 SPORTPESA
yaani makala yote SIMBA SC YAZOA MILIONI 50 SPORTPESA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SIMBA SC YAZOA MILIONI 50 SPORTPESA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/03/simba-sc-yazoa-milioni-50-sportpesa.html
0 Response to "SIMBA SC YAZOA MILIONI 50 SPORTPESA"
Post a Comment