ULANGA YASIFU JUHUDI ZINAZOFANYWA NA BODI YA KOROSHO NCHINI

ULANGA YASIFU JUHUDI ZINAZOFANYWA NA BODI YA KOROSHO NCHINI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ULANGA YASIFU JUHUDI ZINAZOFANYWA NA BODI YA KOROSHO NCHINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ULANGA YASIFU JUHUDI ZINAZOFANYWA NA BODI YA KOROSHO NCHINI
kiungo : ULANGA YASIFU JUHUDI ZINAZOFANYWA NA BODI YA KOROSHO NCHINI

soma pia


ULANGA YASIFU JUHUDI ZINAZOFANYWA NA BODI YA KOROSHO NCHINI

NA RIPOTA WETU, ULANGA.

SERIKALI wilayani Ulanga mkoani Morogoro imesifu jitihada kubwa zinazo fanywa na bodi ya Korosho Tanzania kwa kuwatembelea wakulima ili kuwahamasisha umuhimu wa kulima kilimo chenye tija ili kuongeza uzalishaji ikiwa ni mpango wa kuliendeleza zao hilo.

Hayo yalibainishwa na Katibu Tawala wa wilaya ya Ulanga (DAS) Abraham Mwaikwila wakati wakati wa ziara ya viongozi wa Bodi ya Korosho iliyokuwa na lengo la kuhamasisha kilimo hicho kwa wakulima wilayani Ulanga ikiwemo upuliziaji wa dawa ili kuongeza uzalishaji.

Viongozi wa bodi ya Korosho ambao walikuwa kwenye ziara hiyo ya uhama sishaji huo ni Afisa Habari wa Bodi ya Korosho Tanzania Bryson Mshana na Afisa Kilimo Bodi ya Korosho Tanzania Frank Mfutakamba ambao walikutana na wakulima wanaolima korosho wa kikundi cha Igombiro

Alisema kwamba wilaya hiyo tokea miaka ya nyuma walikuwa wanalima korosho lakini baadae waliliacha kutokana na kutokuwa na soko la uhakika lakini kwa sasa ili kuhakikisha zao hilo linalimwa kwa tija mwaka jana walipewa ruzuku ya uzalishaji wa miche ya korosho laki tatu ambayo waliigawa kwa wakulima.
Afisa Habari wa Bodi ya Korosho nchini Bryson Mshana akisistiza jambo kqwa Mkuu wa wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro Ngolo Malinya wakati wa ziara yao ya kuhamasisha wakulima umuhimu wa kuongeza tija ya kilimo hichoAfisa Habari wa Bodi ya Korosho nchini Bryson Mshana kulia akisistiza jambo wakati akitoa elimu kwa wakulima wa zao hilo kwenye kikundi cha Igombiro wilayani Ulanga mkoani MorogoroAfisa Kilimo Bodi ya Korosho Tanzania Frank Mfutakamba kulia akisisitiza jambo kwa wakulima hao kuhusu magonjwa hatari yanayolishambulia zao hilo wakati wa uzalishaji wake na namna ya kukabiliana naloAfisa Habari wa Bodi ya Korosho nchini Bryson Mshana kulia akionyeshwa kitu na mmoja wa wakulima wa zao la Korosho wa kikundi cha Igombiro wilayani Ulanga mkoani Morogoro wakati wa ziara ya kuhamasisha umuhimu wa kulimo hicho.



Hivyo makala ULANGA YASIFU JUHUDI ZINAZOFANYWA NA BODI YA KOROSHO NCHINI

yaani makala yote ULANGA YASIFU JUHUDI ZINAZOFANYWA NA BODI YA KOROSHO NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ULANGA YASIFU JUHUDI ZINAZOFANYWA NA BODI YA KOROSHO NCHINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/ulanga-yasifu-juhudi-zinazofanywa-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "ULANGA YASIFU JUHUDI ZINAZOFANYWA NA BODI YA KOROSHO NCHINI"

Post a Comment