title : MWANAHABARI WA ITV AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA MAKOSA YA KUSHAMBULIA NA KUDHURU MWILI.
kiungo : MWANAHABARI WA ITV AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA MAKOSA YA KUSHAMBULIA NA KUDHURU MWILI.
MWANAHABARI WA ITV AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA MAKOSA YA KUSHAMBULIA NA KUDHURU MWILI.
Mwandishi wa kituo cha Habari cha ITV na Readio One Mkoani Kagera Bwn. Audax Mtiganzi amefikishwa katika mahakama ya mwanzo Wilayani Bukoba mapema Machi 20, 2019, kwa kosa la kushambulia na kudhuru mwili.
Akisomewa maelezo ya kosa,hakimu wa mahakama hiyo Owemilembe Ishabakaki amesema, mshitakiwa alitenda kosa hilo katika mtaa wa Kashenye (anapoishi) Januari 21,2019 saa tatu usiku.
Katika kesi hiyo ya jinai namba 255/2019 Mtuhumiwa kwa kumpiga na kumdhuru bila halali mlalamikaji Bwn. Phinias Bashaya Mwandishi Wa Habari Wa Mwananchi Communications Ltd, Mkoa Wa Kagera.
Baada ya kusomewa shitaka mlalamikaji alihoji kutokuwepo kwa shitaka la kuharibu mali,na madai ya mshitakiwa kuwa mlalamikaji alijaribu kumpa sumu na mahakama imeagiza hati ya mashitaka ibadilishwe.
Mtuhumiwa huyo yupo nje kwa dhamana, baada ya kukamilisha masharti ya dhamana ambapo mdhamini amesaini bondi ya shilingi laki mbili na kesi itatajwa tena March 25 mwaka huu
Hivyo makala MWANAHABARI WA ITV AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA MAKOSA YA KUSHAMBULIA NA KUDHURU MWILI.
yaani makala yote MWANAHABARI WA ITV AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA MAKOSA YA KUSHAMBULIA NA KUDHURU MWILI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MWANAHABARI WA ITV AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA MAKOSA YA KUSHAMBULIA NA KUDHURU MWILI. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/03/mwanahabari-wa-itv-afikishwa-mahakamani.html
0 Response to "MWANAHABARI WA ITV AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA MAKOSA YA KUSHAMBULIA NA KUDHURU MWILI."
Post a Comment