title : MAJALIWA ASHUHUDIA MECHI KATI YA NAMUNGO FC NA DODOMA FC - UWANJA WA JAMHURI DODOMA
kiungo : MAJALIWA ASHUHUDIA MECHI KATI YA NAMUNGO FC NA DODOMA FC - UWANJA WA JAMHURI DODOMA
MAJALIWA ASHUHUDIA MECHI KATI YA NAMUNGO FC NA DODOMA FC - UWANJA WA JAMHURI DODOMA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Dodoma Mjini ambaye pia na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Anthony Mavunde wakati alipowasili kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma kushuhudi mechi ya kirafiki kati ya Namungo FC ya Ruangwa na Dodoma FC, Septemba 16, 2018. Timu hizo zilitoka suluhu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Rashidi Mpemba (kushoto) wa Dodoma FC na Bruno John wa Namungo FC wakiwania mpira katika mechi ya kirafiki iliyochezwa kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, Septemba 16, 2018. Timu hizo zilitoka suluhu.
Rashidi Mpemba (kushoto) wa Dodoma FC akimiliki mpira huku akizongwa na Bruno John wa Namungo FC katika mechi ya kirafiki iliyochezwa kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, Septemba 16, 2018. Timu hizo zilitoka suluhu.
Zahoro Pazi wa timu ya Dodoma FC (kulia) akimtoka Luka Kikoti wa Namungo FC katika mchezo wa kirafiki uliochezwa kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma Septemba 16, 2018. Timu hizo zilitoka suluhu.
Rashidi Mpemba (kushoto) wa Dodoma FC na Bruno John wa Namungo FC wakiwania mpira katika mechi ya kirafiki iliyochezwa kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, Septemba 16, 2018. Timu hizo zilitoka suluhu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji na viongozi wa timu ya mpira wa miguu ya Namungo FC ya Ruangwa na Dodoma FC baada ya mchezo wa kirafiki kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, Septemba 16, 2018. Timu hizo zilitoka suluhu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala MAJALIWA ASHUHUDIA MECHI KATI YA NAMUNGO FC NA DODOMA FC - UWANJA WA JAMHURI DODOMA
yaani makala yote MAJALIWA ASHUHUDIA MECHI KATI YA NAMUNGO FC NA DODOMA FC - UWANJA WA JAMHURI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAJALIWA ASHUHUDIA MECHI KATI YA NAMUNGO FC NA DODOMA FC - UWANJA WA JAMHURI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/majaliwa-ashuhudia-mechi-kati-ya.html
0 Response to "MAJALIWA ASHUHUDIA MECHI KATI YA NAMUNGO FC NA DODOMA FC - UWANJA WA JAMHURI DODOMA"
Post a Comment