title : SPIKA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAFADHILI WA MRADI WA KULIJENGEA BUNGE UWEZO
kiungo : SPIKA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAFADHILI WA MRADI WA KULIJENGEA BUNGE UWEZO
SPIKA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAFADHILI WA MRADI WA KULIJENGEA BUNGE UWEZO
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akizungumza na Wafadhili wa Mradi wa Kulijengea Bunge Uwezo walipomtembelea leo Ofisini kwake Jijini Dodoma. Wa pili kutoka mwisho upande wa Kulia ni Naibu Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson na wakwanza ni Katibu wa Bunge Ndg. Stephen Kagaigai.
Naibu Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson (kulia) akifafanua jambo wakati wa Kikao kati ya Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai na Wafadhili wa Mradi wa Kulijengea Bunge Uwezo.
Mtaalam Mwadamizi wa masuala ya Jinsia na Utawala katika Ubalozi Ireland nchini Bi. Aran Corrigan (wakwanza kulia) akifafanua jambo wakati wa kikao kati ya Spika wa Bunge na Wafadhili wa Mradi wa Kulijengea Bunge Uwezo.
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (watatu kutoka kushoto) katika picha ya pamoja na Wafadhili wa Mradi wa Kulijengea Bunge Uwezo mara baada ya kuzungumza nao Ofisini kwake Jijini Dodoma. Kushoto kwa Spika ni Naibu Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson.
PICHA NA BUNGE
Hivyo makala SPIKA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAFADHILI WA MRADI WA KULIJENGEA BUNGE UWEZO
yaani makala yote SPIKA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAFADHILI WA MRADI WA KULIJENGEA BUNGE UWEZO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAFADHILI WA MRADI WA KULIJENGEA BUNGE UWEZO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/spika-akutana-na-kuzungumza-na.html
0 Response to "SPIKA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAFADHILI WA MRADI WA KULIJENGEA BUNGE UWEZO"
Post a Comment