title : MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT. JOHN MAGUFULI AMEKAGUA JENGO LA KITEGA UCHUMI LA CCM SUKITA LUMUMBA
kiungo : MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT. JOHN MAGUFULI AMEKAGUA JENGO LA KITEGA UCHUMI LA CCM SUKITA LUMUMBA
MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT. JOHN MAGUFULI AMEKAGUA JENGO LA KITEGA UCHUMI LA CCM SUKITA LUMUMBA
Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufguli na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Humphrey Polepole wakimsikiliza Msimamizi wa Ujenzi wa ukarabati wa Mradi wa Jengo la Kitega wa Kitega Uchumi la Ccm (SUKITA) lililopo mtaa wa Lumumba ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Miaka 42 ya CCM. Jijini Dar es Salaam.Febuari 5,2019.
Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufguli na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Humphrey Polepole akitoa maelekezo kwa Msimamizi wa Ujenzi wa ukarabati wa Mradi wa Jengo la Kitega wa Jengo la Kitega Uchumi la Ccm (SUKITA) lililopo mtaa wa Lumumba ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Miaka 42 ya CCM. Jijini Dar es Salaam.Febuari 5,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwasikiliza Wajasiliamali wadogo Paschal Sabas Mjasiliamali wa Madafu pamoja Dunia Seleman Simba Mjasiliamali wa Miwa mara baada ya kukagua ukarabati wa Mradi wa Jengo la Kitega Uchumi la Ccm (SUKITA) lililopo mtaa wa Lumumba ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Miaka 42 ya CCM. Jijini Dar es Salaam Febuari 5, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimlipa pesa Paschal Sabas Mjasiliamali wa Madafu mara baada kununua Madafu yake, alipotembelea ili kukagua ukarabati wa Mradi wa Jengo la Kitega Uchumi la Ccm (SUKITA) lililopo mtaa wa Lumumba ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Miaka 42 ya CCM. Jijini Dar es Salaam Febuari 5, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akisaidiwa na Katibu Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole kunywa Dafu alilonunua kwa mjasiliamali Paschal Sabas mara baada a kukagua ukarabati wa Mradi wa Jengo la Kitega Uchumi la Ccm (SUKITA) lililopo mtaa wa Lumumba ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Miaka 42 ya CCM. Jijini Dar es Salaam Febuari 5, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akinywa Dafu alilonunua kwa mjasiliamali Paschal Sabas mara baada a kukagua ukarabati wa Mradi wa Jengo la Kitega Uchumi la Ccm (SUKITA) lililopo mtaa wa Lumumba ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Miaka 42 ya CCM. Jijini Dar es Salaam Febuari 5,2019.
PICHA NA IKULU
Hivyo makala MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT. JOHN MAGUFULI AMEKAGUA JENGO LA KITEGA UCHUMI LA CCM SUKITA LUMUMBA
yaani makala yote MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT. JOHN MAGUFULI AMEKAGUA JENGO LA KITEGA UCHUMI LA CCM SUKITA LUMUMBA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT. JOHN MAGUFULI AMEKAGUA JENGO LA KITEGA UCHUMI LA CCM SUKITA LUMUMBA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/mwenyekiti-wa-ccm-rais-dkt-john.html
0 Response to "MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT. JOHN MAGUFULI AMEKAGUA JENGO LA KITEGA UCHUMI LA CCM SUKITA LUMUMBA"
Post a Comment