Babu Seya, Papii, Warudi Rasmi Kwenye Muziki

Babu Seya, Papii, Warudi Rasmi Kwenye Muziki - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Babu Seya, Papii, Warudi Rasmi Kwenye Muziki, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Babu Seya, Papii, Warudi Rasmi Kwenye Muziki
kiungo : Babu Seya, Papii, Warudi Rasmi Kwenye Muziki

soma pia


Babu Seya, Papii, Warudi Rasmi Kwenye Muziki


Ngili  wa muziki wa dansi, Nguza Vicking ‘Babu Seya’ na mwanaye Jonhson Nguza ‘Papii Kocha’ kwa mara ya kwanza tangu waachiwe huru Desemba 9 kwa msamaha wa Rais John Maguuli, leo Januari 5 wamekutana na Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Juliana Shonza pamoja na wanahabari ambapo wamepata fursa ya kueleza namna walivyojipanga kurudi kwenye tasnia ya muziki.

Akizungumza na wanahabari katika Studio za Wanene Entertainment zilizopo Mwenge, Coca-cola, Naibu Waziri Shonza amesema wao kama wizara kazi yao kubwa ni kuwasaidia wasanii na kuhakikisha wanafanikiwa kufikia malengo yao, hivyo wameamua kuwakutanisha na wadau wa muziki wakiwemo Wanene ili kufanmikisha zoezi la nguli hao kurudi kwenye game.

“Sisi kama wizara kuna namna ambayo tunaitumia kuwasapoti wasanii, hatuwezi kutoa fedha, hivyo tumeamua kuwakutanisha Babu Seya, Papii Kocha na Studio ya Wanene ili waweze kuweka mipango sawa kwa ajiri ya kuendeleza muziki,” alisema Shonza.

Kwa upande wake Babu Seya alisema mashabiki wao watulie kwani mipango ndiyo inapikwa hivyo mambo yakikamilika kila kitu watakiweka hadharani.

“Baada ya shooting na recording tutaangalia namna ya kufanya lakini hatutakuwa na utaratibu wetu wa zamani wa kupiga shoo kila siku,” alisema Babu Seya huku papii Kocha akiachia kionjo cha moja ya wimbo wao wa zamani.

Aidha, Mmiliki wa Studio za Wanene, Dash alisema wao wamejipanga kutoa sapoti ya ainza zote kwa babu Seya na papii ili kuhakikisha wanarekodi kazi nzuri na kuzifikisha kwa jamii na mashabiki wao.


Hivyo makala Babu Seya, Papii, Warudi Rasmi Kwenye Muziki

yaani makala yote Babu Seya, Papii, Warudi Rasmi Kwenye Muziki Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Babu Seya, Papii, Warudi Rasmi Kwenye Muziki mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/babu-seya-papii-warudi-rasmi-kwenye.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Babu Seya, Papii, Warudi Rasmi Kwenye Muziki"

Post a Comment