MWINGINE APIGWA RISASI NA WATU WASIOJULIKANA DAR...RAIS MAGUFULI AMJULIA HALI

MWINGINE APIGWA RISASI NA WATU WASIOJULIKANA DAR...RAIS MAGUFULI AMJULIA HALI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MWINGINE APIGWA RISASI NA WATU WASIOJULIKANA DAR...RAIS MAGUFULI AMJULIA HALI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MWINGINE APIGWA RISASI NA WATU WASIOJULIKANA DAR...RAIS MAGUFULI AMJULIA HALI
kiungo : MWINGINE APIGWA RISASI NA WATU WASIOJULIKANA DAR...RAIS MAGUFULI AMJULIA HALI

soma pia


MWINGINE APIGWA RISASI NA WATU WASIOJULIKANA DAR...RAIS MAGUFULI AMJULIA HALI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli pamoja na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo (kushoto) wakioneshwa na  Brigedia Jenerali Dkt. Paul Massawe Brigedia risasi  zilizotolewa kwenye mwili wa  Meja Jenerali Mstaafu Vicent Mritaba  baada ya jana kushambuliwa wakati akiingia  nyumbani kwake Ununio wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam leo-Picha na IKULU



****

Ikiwa ni siku tano tu zimepita tangu Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu kushambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana akiwa nyumbani kwake Area D, Dodoma, tukio lingine kama hilo limetokea Dar es Salaam ambapo watu wanaodhaniwa kuwa majambazi wamemshambulia kwa risasi Meja Jenerali Vincent Mritaba.



Tukio hilo limetokea jioni ya September 11, 2017 wakati Meja Jenerali Mritaba akiwa anaingia getini nyumbani kwake Tegeta ambapo alivamiwa na watu wasiojulikana na kupigwa risasi tumboni, begani na mguuni.



Hadi usiku wa jana Madaktari walikuwa wanaendelea na upasuaji kutoa risasi tatu tumboni na kushughulikia majeraha mengine.


Hivyo makala MWINGINE APIGWA RISASI NA WATU WASIOJULIKANA DAR...RAIS MAGUFULI AMJULIA HALI

yaani makala yote MWINGINE APIGWA RISASI NA WATU WASIOJULIKANA DAR...RAIS MAGUFULI AMJULIA HALI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MWINGINE APIGWA RISASI NA WATU WASIOJULIKANA DAR...RAIS MAGUFULI AMJULIA HALI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/mwingine-apigwa-risasi-na-watu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MWINGINE APIGWA RISASI NA WATU WASIOJULIKANA DAR...RAIS MAGUFULI AMJULIA HALI"

Post a Comment