title : MBUNGE WA IRAMBO DKT. MWIGULU APATA AJARI .
kiungo : MBUNGE WA IRAMBO DKT. MWIGULU APATA AJARI .
MBUNGE WA IRAMBO DKT. MWIGULU APATA AJARI .
Taarifa zilizothibitishwa na Jeshi la Polisi zimeeleza kuwa, Mbunge wa Iramba Magharibi (CCM), Dkt. Dk Mwigulu Lameck Nchemba amepata ajali ya gari leo Jumatano, Februari 13, 2019 asubuhi akiwa njiani katika Barabara ya Iringa kuelekea Dodoma.
Imeelezwa kuwa, chanzo cha ajali hiyo ni gari lake liligonga Punda barabarani ambapo baada ya ajali hiyo, amekimbizwa katika Hospitali ya Dodoma kwa ajili ya matibabu zaidi.
Hivyo makala MBUNGE WA IRAMBO DKT. MWIGULU APATA AJARI .
yaani makala yote MBUNGE WA IRAMBO DKT. MWIGULU APATA AJARI . Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MBUNGE WA IRAMBO DKT. MWIGULU APATA AJARI . mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/mbunge-wa-irambo-dkt-mwigulu-apata-ajari.html
0 Response to "MBUNGE WA IRAMBO DKT. MWIGULU APATA AJARI ."
Post a Comment