title : DC KIGAMBONI AELEZA SABABU YA KUCHELEWA KUKAMILIKA UJENZI KITUO CHA AFYA KIMBIJI.
kiungo : DC KIGAMBONI AELEZA SABABU YA KUCHELEWA KUKAMILIKA UJENZI KITUO CHA AFYA KIMBIJI.
DC KIGAMBONI AELEZA SABABU YA KUCHELEWA KUKAMILIKA UJENZI KITUO CHA AFYA KIMBIJI.
Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Mhe.Sarah Msafiri , ameishukuru kamati ya Ujenzi Manispaaya Kigamboni kwa kusimamia vizuri hadi kukamilika ujenzi wa kituo cha Afya Kimbiji huku akiishukuruserikali kuu kwa kutoa fedha kwaajili ya ujenzi huo ambao umegharimu jumla ya shilingi million 450.
DC Msafiri ametoa pongezi hizo leo wakati wa ziarayake ya kukagua miradi ya ujenzi Wilayani humo ambapo ameeleza sababu za kuchewa kukamilika kwa ujenzi huo kuwa ni pamoja na jiografia ya eneo na kuongezeka kwa wingi wa vyumba vya Majengo .
‘’Majengo ya kituo chetu nitofauti na mengine nchini ambayo tulipewa wote fedha za kuanza ujenzi eneo hili lina mwinuko (Land scape) ilituchukua muda kuweka sawana na kuanza ujenzi wa msingi ,pia sisi tumeongeza vyuma sita kwahiyo tukachelewa kumaliza ila kwasasa asilimia 90% ya ujenzi imekamilika”Alisema .
Aidha amesema pamoja na kukamilika kwa ujenzi huo wanatarajia kupokea vifaatiba kutoka kwa MSD ifikapo mwezi March na kuwataka wananchi wa maeneo jirani kukitumia kituo hicho kwa kuwa serikali imewarahishia na kuwapunguzia usumbufu wa kutembea mwendo mrefu kwenda vijibweni na Kigamboni kufuata huduma za Afya.
“Nawataka sasa wananchi mkitumie kituo hiki kata zote nne zinazo zunguka eneo hili tumieni hiki ni kituochenu ,naomba pia uongozi wa kituo hiki pia muwatangazie wananchi ili wasiendelee kupata shida”Alisema
Kwa upende wake Mganga mkuu wa Manispaa ya Kigamboni , Charles Rashid Mkombachepa, baadhi ya huduma zimesha anza kutolewa ikiwemo huduma ya Mama na Mtoto na .
“Kituo hiki tangu tungu tumekifungua mwezi mmoja uliopita jumla ya akina mama 25 wamesha jigulia hapa naendelea kutoa wito kwa wananchi waje kupata huma hapa”Alisema
Katika ujenzi huo jumla ya shilingi million 450, ambapo serikali kuu imetoa shilingi million 400 ambapo kutoka na jiogafia ya eneo hilo na kuonezeka idadi ya vyumba gharama zilidi ambapo Manispaa ya kigamboni iliongezea shilingi milino 50.
Hivyo makala DC KIGAMBONI AELEZA SABABU YA KUCHELEWA KUKAMILIKA UJENZI KITUO CHA AFYA KIMBIJI.
yaani makala yote DC KIGAMBONI AELEZA SABABU YA KUCHELEWA KUKAMILIKA UJENZI KITUO CHA AFYA KIMBIJI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DC KIGAMBONI AELEZA SABABU YA KUCHELEWA KUKAMILIKA UJENZI KITUO CHA AFYA KIMBIJI. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/dc-kigamboni-aeleza-sababu-ya-kuchelewa.html
0 Response to "DC KIGAMBONI AELEZA SABABU YA KUCHELEWA KUKAMILIKA UJENZI KITUO CHA AFYA KIMBIJI."
Post a Comment