PICHA ZA MATUKIO KATIKA KAMBI YA MATIBABU NA UPASUAJI WA MOYO KWA WATOTO KWENYE TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE KWA KUSHIRIKIANA NA SAVE CHILD’S HEART-SACH YA NCHINI ISRAEL

PICHA ZA MATUKIO KATIKA KAMBI YA MATIBABU NA UPASUAJI WA MOYO KWA WATOTO KWENYE TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE KWA KUSHIRIKIANA NA SAVE CHILD’S HEART-SACH YA NCHINI ISRAEL - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa PICHA ZA MATUKIO KATIKA KAMBI YA MATIBABU NA UPASUAJI WA MOYO KWA WATOTO KWENYE TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE KWA KUSHIRIKIANA NA SAVE CHILD’S HEART-SACH YA NCHINI ISRAEL, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : PICHA ZA MATUKIO KATIKA KAMBI YA MATIBABU NA UPASUAJI WA MOYO KWA WATOTO KWENYE TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE KWA KUSHIRIKIANA NA SAVE CHILD’S HEART-SACH YA NCHINI ISRAEL
kiungo : PICHA ZA MATUKIO KATIKA KAMBI YA MATIBABU NA UPASUAJI WA MOYO KWA WATOTO KWENYE TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE KWA KUSHIRIKIANA NA SAVE CHILD’S HEART-SACH YA NCHINI ISRAEL

soma pia


PICHA ZA MATUKIO KATIKA KAMBI YA MATIBABU NA UPASUAJI WA MOYO KWA WATOTO KWENYE TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE KWA KUSHIRIKIANA NA SAVE CHILD’S HEART-SACH YA NCHINI ISRAEL

Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo kwa watoto kutoka Taasisi ya Okoa Moyo wa Mtoto (Save a Child’s Heart – SACH) ya nchini Israel Katharina Schmitt akiangali jinsi moyo wa mtoto unavyofanya kazi (Echocardiogram) kwenye kambi ya matibabu na upimaji wa moyo kwa watoto inayoendelea katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI). Kulia ni Afisa Muuguzi wa JKCI Pal Bhadreshwara na kushoto ni mama wa mtoto.
Mama Judy Shore kutoka Taasisi ya Okoa Moyo wa Mtoto (Save a Child’s Heart-SACH) ya nchini Israel akielezea jinsi Taasisi hiyo inavyotoa huduma za matibabu ya moyo kwa watoto na mafunzo kwa wafanyakazi wa kada ya afya hapa nchini katika mkutano na waandishi wa habari uliozungumzia kambi ya matibabu ya moyo ya bila kufungua kifua (Catheterization) inayoendelea katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ambapo hadi sasa jumla ya watoto 20 wamefanyiwa upasuaji wa bila kufungua kifua na hali zao zinaendelea vizuri.Kulia ni Daktari bingwa wa Magonjwa ya Moyo na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Magonjwa ya Moyo kutoka JKCI Peter Kisenge.
Daktari bingwa wa Magonjwa ya Moyo na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Magonjwa ya Moyo kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Peter Kisenge akiongea na waandishi wa Habari kuhusu uhusiano wa Taasisi hiyo na Taasisi ya Okoa Moyo wa Mtoto (Save a Child Heart- SACH) ya nchini Israel ambapo hadi sasa jumla ya watoto 40 wamefanyiwa upasuaji wa moyo bure nchini Israel. Kulia ni Simon Fisher na kushoto ni Mama Judy Shore wote kutoka SACH.
Watoto wakicheza wakati wakisubiri kwenda kufanyiwa kipimo kinachoangalia jinsi moyo unavyofanya kazi (Echocardiogram) katika kambi ya matibabu ya moyo kwa watoto inayofanywa na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Taasisi ya Okoa Moyo wa Mtoto (Save a Child’s Heart-SACH) ya nchini Israel. Jumla ya watoto 100 wanatarajiwa kufanyiwa uchunguzi kati ya hao 60 ambao watakuwa na matatizo makubwa watapelekwa nchini Israel kwa ajili ya matibabu na 40 watatibiwa hapa nchini.


Picha na JKCI


Hivyo makala PICHA ZA MATUKIO KATIKA KAMBI YA MATIBABU NA UPASUAJI WA MOYO KWA WATOTO KWENYE TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE KWA KUSHIRIKIANA NA SAVE CHILD’S HEART-SACH YA NCHINI ISRAEL

yaani makala yote PICHA ZA MATUKIO KATIKA KAMBI YA MATIBABU NA UPASUAJI WA MOYO KWA WATOTO KWENYE TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE KWA KUSHIRIKIANA NA SAVE CHILD’S HEART-SACH YA NCHINI ISRAEL Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala PICHA ZA MATUKIO KATIKA KAMBI YA MATIBABU NA UPASUAJI WA MOYO KWA WATOTO KWENYE TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE KWA KUSHIRIKIANA NA SAVE CHILD’S HEART-SACH YA NCHINI ISRAEL mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/picha-za-matukio-katika-kambi-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "PICHA ZA MATUKIO KATIKA KAMBI YA MATIBABU NA UPASUAJI WA MOYO KWA WATOTO KWENYE TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE KWA KUSHIRIKIANA NA SAVE CHILD’S HEART-SACH YA NCHINI ISRAEL"

Post a Comment