title : Afisa Tarafa Mihambwe Gavana Emmanuel Shilatu awataka Wajasiliamali wadogo wawe na vitambulisho
kiungo : Afisa Tarafa Mihambwe Gavana Emmanuel Shilatu awataka Wajasiliamali wadogo wawe na vitambulisho
Afisa Tarafa Mihambwe Gavana Emmanuel Shilatu awataka Wajasiliamali wadogo wawe na vitambulisho
Na Mwandishi wetu, Mihambwe
Afisa Tarafa Mihambwe Gavana Emmanuel Shilatu ametoa angalizo kwa Wajasiliamali wadogo kuhakikisha wale ambao hawana vitambulisho hivyo wanakuwa navyo kwani ndio mkombozi wao kibiashara.
Gavana Shilatu aliyasema hayo kijijini Mihambwe kilichopo kata ya Mihambwe, Tarafa ya Mihambwe wakati akiendelea na zoezi la utoaji wa vitambulisho vya Wajasiliamali kwa ambao wamelipia Tsh. Elfu ishirini.
*"Wajasiliamali wadogo changamkieni fursa hii adimu na adhimu ya kuwa na vitambulisho vitakavyowafanya msisumbuliwe na mkuze mitaji na maisha yenu. Fursa ya wanufaika imeongezeka, tuvichangamkie."* alisema Gavana Shilatu.
Zoezi la utoaji wa vitambulisho vya Wajasiliamali wadogo lilizinduliwa na Rais Magufuli kwa lengo la kuwasaidia Wajasiliamali wadogo wasisumbuliwe na wakuze mitaji yao.
Hivyo makala Afisa Tarafa Mihambwe Gavana Emmanuel Shilatu awataka Wajasiliamali wadogo wawe na vitambulisho
yaani makala yote Afisa Tarafa Mihambwe Gavana Emmanuel Shilatu awataka Wajasiliamali wadogo wawe na vitambulisho Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Afisa Tarafa Mihambwe Gavana Emmanuel Shilatu awataka Wajasiliamali wadogo wawe na vitambulisho mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/afisa-tarafa-mihambwe-gavana-emmanuel.html
0 Response to "Afisa Tarafa Mihambwe Gavana Emmanuel Shilatu awataka Wajasiliamali wadogo wawe na vitambulisho"
Post a Comment