Habari : Msisubiri Muda wa Kuchukua Leseni Kuisha - Dkt. Abbasi

Habari : Msisubiri Muda wa Kuchukua Leseni Kuisha - Dkt. Abbasi - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Habari : Msisubiri Muda wa Kuchukua Leseni Kuisha - Dkt. Abbasi, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Habari : Msisubiri Muda wa Kuchukua Leseni Kuisha - Dkt. Abbasi
kiungo : Habari : Msisubiri Muda wa Kuchukua Leseni Kuisha - Dkt. Abbasi

soma pia


Habari : Msisubiri Muda wa Kuchukua Leseni Kuisha - Dkt. Abbasi



Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akielezea jambo wakati wa zoezi la kukabidhi Leseni za machapisho kwa Kampuni ya The Guardian Ltd leo Jijini Dar es Salaam ikiwa ni muendelezo wa utekelezaji wa matakwa ya sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016 kifungu kidogo namba 5(e). Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi anayeshugulikia Usajili Patrick Kipangula na kulia ni Mhariri Mkuu wa The Guardian Ltd Jesse Kwayu. Kampuni hiyo inamiliki magazeti ya Nipashe, Nipashe Jumapili, Sema Usikike,The Guardian, The Guardian On Sunday, Kulikoni, Lete Raha, This Day, Alasiri na Taifa Letu.

Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akimkabidhi Leseni za machapisho Mhariri Mkuu wa Kampuni ya The Guardian Ltd Jesse Kwayu (kulia) ikiwa ni muendelezo wa utekelezaji wa matakwa ya Sheria ya Huduma za Habari ya Mwaka 2016 kifungu kidogo namba 5(e).Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi anayeshugulikia Usajili Patrick Kipangula. Kampuni hiyo inamiliki magazeti ya Nipashe, Nipashe Jumapili, Sema Usikike,The Guardian, The Guardian On Sunday, Kulikoni, Lete Raha, This Day, Alasiri na Taifa Letu.

Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akimkabidhi Leseni za machapisho Meneja wa Sheria na Uhusiano wa Kampuni ya The Guardian Ltd Bw. Emmanuel Matondo(kulia) ikiwa ni muendelezo wa utekelezaji wa matakwa ya Sheria ya Huduma za Habari ya Mwaka 2016 kifungu kidogo namba 5(e). Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi anayeshugulikia Usajili Patrick Kipangula. Kampuni hiyo inamiliki magazeti ya Nipashe, Nipashe Jumapili, Sema Usikike,The Guardian, The Guardian On Sunday, Kulikoni, Lete Raha, This Day, Alasiri na Taifa Letu.

Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi na Meneja wa Sheria na Uhusiano wa Kampuni ya The Guardian Ltd Bw. Emmanuel Matondo (kulia) wakionyesha Leseni ya machapisho aliyotolewa kwaa ajili ya gazeti la Nipashe mara baada ya kukabidhiwa leo Jijini Dar es Salaam.Utoaji wa Leseni unafuatia muitikio wa wamiliki wa machapisho kuzingatia matakwa ya Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016 kifunga namba 5(e). Kampuni hiyo inamiliki magazeti ya Nipashe, Nipashe Jumapili, Sema Usikike,The Guardian, The Guardian On Sunday, Kulikoni, Lete Raha, This Day, Alasiri na Taifa Letu.

Mhariri Mkuu wa Kampuni ya The Guardian Ltd Bw. Jesse Kwayu na Meneja Sheria na Uhusiano wa kampuni hiyo Bw. Emmanuel Matondo wakiwa wameshika Leseni 10 za machapisho yanayomilikiwa na The Guarid baada ya kukabidhi wa Leseni kumi za machapisho yanayomilikiwa na Kampuni hiyo leo Jijini Dar es Salaam. Kampuni hiyo inamiliki magazeti ya Nipashe, Nipashe Jumapili, Sema Usikike,The Guardian, The Guardian On Sunday, Kulikoni, Lete Raha, This Day, Alasiri na Taifa Letu.


Picha na: Idara ya Habari - MAELEZO


Hivyo makala Habari : Msisubiri Muda wa Kuchukua Leseni Kuisha - Dkt. Abbasi

yaani makala yote Habari : Msisubiri Muda wa Kuchukua Leseni Kuisha - Dkt. Abbasi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Habari : Msisubiri Muda wa Kuchukua Leseni Kuisha - Dkt. Abbasi mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/habari-msisubiri-muda-wa-kuchukua.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Habari : Msisubiri Muda wa Kuchukua Leseni Kuisha - Dkt. Abbasi"

Post a Comment