SPIKA JOB NDUGAI ATEMBELEWA NA BALOZI WA UINGEREZA NCHINI LEO OFISINI KWAKE MJINI DODOMA

SPIKA JOB NDUGAI ATEMBELEWA NA BALOZI WA UINGEREZA NCHINI LEO OFISINI KWAKE MJINI DODOMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SPIKA JOB NDUGAI ATEMBELEWA NA BALOZI WA UINGEREZA NCHINI LEO OFISINI KWAKE MJINI DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SPIKA JOB NDUGAI ATEMBELEWA NA BALOZI WA UINGEREZA NCHINI LEO OFISINI KWAKE MJINI DODOMA
kiungo : SPIKA JOB NDUGAI ATEMBELEWA NA BALOZI WA UINGEREZA NCHINI LEO OFISINI KWAKE MJINI DODOMA

soma pia


SPIKA JOB NDUGAI ATEMBELEWA NA BALOZI WA UINGEREZA NCHINI LEO OFISINI KWAKE MJINI DODOMA

 Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia)akisalimiana na Balozi wa Uingereza nchini, Sarah Cooke (kushoto) pale ugeni kutoka ubalozi huo ulipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. katikati ni Mwakilishi Mkazi wa DFID hapa nchini, Ndg. Beth Arthy.
 Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto)akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini, Sarah Cooke (katikati) na Mwakilishi Mkazi wa DFID hapa nchini, Ndg. Beth Arthy,  pale ugeni kutoka ubalozi huo ulipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
 Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto)akimsikiliza Balozi wa Uingereza nchini, Sarah Cooke (katikati) na kulia ni  Mwakilishi Mkazi wa DFID hapa nchini, Ndg. Beth Arthy,  pale ugeni kutoka ubalozi huo ulipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
 Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto)akiagana na Balozi wa Uingereza nchini, Sarah Cooke (kushoto) pale ugeni kutoka ubalozi huo ulipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. katikati ni Mwakilishi Mkazi wa DFID hapa nchini, Ndg. Beth Arthy
 Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati)akiwa katika picha ya pamoja na ugeni kutoka ubalozi wa Uingereza uliomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. ulioongozwa na Balozi wa Uingereza nchini, Sarah Cooke (watatu kulia).

 Katibu wa Bunge, Dkt. Thomas Kashililah (kulia) akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini, Sarah Cooke (kushoto) pale ugeni kutoka ubalozi huo ulipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
 Katibu wa Bunge, Dkt. Thomas Kashililah (kulia) akimsikiliza Balozi wa Uingereza nchini, Sarah Cooke (kushoto) pale ugeni kutoka ubalozi huo ulipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Katibu wa Bunge, Dkt. Thomas Kashililah (wa pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na ugeni kutoka Ubalozi wa Uingereza ulioongozwa na  Balozi wa Uingereza nchini, Sarah Cooke (katikati) ulipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)


Hivyo makala SPIKA JOB NDUGAI ATEMBELEWA NA BALOZI WA UINGEREZA NCHINI LEO OFISINI KWAKE MJINI DODOMA

yaani makala yote SPIKA JOB NDUGAI ATEMBELEWA NA BALOZI WA UINGEREZA NCHINI LEO OFISINI KWAKE MJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA JOB NDUGAI ATEMBELEWA NA BALOZI WA UINGEREZA NCHINI LEO OFISINI KWAKE MJINI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/spika-job-ndugai-atembelewa-na-balozi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SPIKA JOB NDUGAI ATEMBELEWA NA BALOZI WA UINGEREZA NCHINI LEO OFISINI KWAKE MJINI DODOMA"

Post a Comment