WACHEZAJI NYOTA SIMBA KUIKOSA MCHEZO WA AS VITA

WACHEZAJI NYOTA SIMBA KUIKOSA MCHEZO WA AS VITA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WACHEZAJI NYOTA SIMBA KUIKOSA MCHEZO WA AS VITA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WACHEZAJI NYOTA SIMBA KUIKOSA MCHEZO WA AS VITA
kiungo : WACHEZAJI NYOTA SIMBA KUIKOSA MCHEZO WA AS VITA

soma pia


WACHEZAJI NYOTA SIMBA KUIKOSA MCHEZO WA AS VITA

Uongozi wa klabu ya Simba umesema utawakosa wachezaji wawili pekee katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya AS VIta.

Taarifa kutoka Msimbazi zinasema wachezaji hao ni mchezaji kiraka, Erasto Nyoni na John Bocco.

Ikumbukwe Nyoni aliumia katika mashindano ya Mapinduzi CUP huko Zanzibar ambayo ilimalizika kwa Azam kuutetea ubingwa wake.

Vilevile Bocco naye aliumia katika mechi iliyopita dhidi ya JS Saoura na kupelekea kutolewa mapema huku nafasi yake ikichukuliwa na Meddie Kagere.

Kuelekea mechi hiyo, Simba wamesema wachezaji wengine waliokipiga na Saoura wapo fiti na watakipiga sawia Jumamosi hii


Hivyo makala WACHEZAJI NYOTA SIMBA KUIKOSA MCHEZO WA AS VITA

yaani makala yote WACHEZAJI NYOTA SIMBA KUIKOSA MCHEZO WA AS VITA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WACHEZAJI NYOTA SIMBA KUIKOSA MCHEZO WA AS VITA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/wachezaji-nyota-simba-kuikosa-mchezo-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WACHEZAJI NYOTA SIMBA KUIKOSA MCHEZO WA AS VITA"

Post a Comment