CHAMA CHA JUMUIA YA MADOLA AFRIKA WAKUTANA KUJADILI BAJETI YA MWAKA 2020

CHAMA CHA JUMUIA YA MADOLA AFRIKA WAKUTANA KUJADILI BAJETI YA MWAKA 2020 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa CHAMA CHA JUMUIA YA MADOLA AFRIKA WAKUTANA KUJADILI BAJETI YA MWAKA 2020, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : CHAMA CHA JUMUIA YA MADOLA AFRIKA WAKUTANA KUJADILI BAJETI YA MWAKA 2020
kiungo : CHAMA CHA JUMUIA YA MADOLA AFRIKA WAKUTANA KUJADILI BAJETI YA MWAKA 2020

soma pia


CHAMA CHA JUMUIA YA MADOLA AFRIKA WAKUTANA KUJADILI BAJETI YA MWAKA 2020


Viongozi wa Chama Cha Wabunge wa Jumuia ya Madola Afrika wakizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam.
Na Noel Rukanuga, Dar es Salaam.
Chama Cha Wabunge wa Jumuiya ya Madola Afrika kimejipanga kuboresha ukuaji wa demokrasia, kuinua wafanyabiashara pamoja na wakulima katika nchi zinazounda umoja huo kupitia bajeti ya mwaka 2020 ambapo viongozi wa umoja huo wamekutana hapa nchini kwa ajili ya kuijadili.

Viongozi hao wa jumuiya ya Madola Afrika wamekutana leo jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujadili bajeti ya mwaka 2020 ambayo imelenga kuleta maendeleo katika nyanja mbalimbali.

Kikao hicho kimewakutanisha maspika wa wabunge wa nchi zinazounda Jumuiya hiyo ikiwemo Mauritius, Kenya, Nigeria pamoja na Tanzania ambaye ni wenyeji.

Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo ambaye ni Spika wa Bunge la Kenya Justine Muturi, amesema kuwa kikao hicho watajadili mambo mbalimbali ikiwemo mpangilio wa demokrasia kwa nchi za Jumuiya, uadilifu pamoja usimamiaji wa haki za binadamu.

Bw. Mturi amesema kuwa kutokana  kuwepo utofauti wa mfumo wa demokrasia kwa nchi hizo wamekutana ili kujadiliana na kuboresha zaidi ukuaji wa demokrasia.

"Katika bajeti hii tutajikita zaidi kwenye kuinua wafanyabiashara na wakulima katika nchi wanachama" amesema Bw. Mturi.

Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugayi, amesema  kuwa katika kikao hicho watajadili mambo mbalimbali ambayo ni rafiki kwa kwa maendeleo ya umoja huo.

Mhe. Ndugayi amesema kuwa kipitia jumuia hiyo kila jambo lijadiliwa kwa lengo la kuleta faida katika jumuia hiyo.

Katika hatua nyengine Mhe. Ndugayi ameeleza kuhusu masuala mbalimbali yanayoendelea yanayoendelea katika bunge la Tanzania.

Amesema kuwa kiongozi wa Chama Cha ACT Wazalendo na Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe ni miongoni mwa wabunge ambao wamekuwa changamoto.

"Zitto Kabwe amekuwa akinipa tabu kutokana na Kauli zake ukizingatia yupo mwenyewe kwenye chama na akimfukuza chama kitakuwa hakina muwakilishi ila bado anafikiria jinsi ya kumuwajibisha" amesema Mhe. Ndugayi.

Hata hivyo amewataka watanzania kuwa wazalendo na nchi yao wawapo nje ya nchi ili kulijengea taifa kuwa na mahusiano mazuri na nchi nyingine.


Hivyo makala CHAMA CHA JUMUIA YA MADOLA AFRIKA WAKUTANA KUJADILI BAJETI YA MWAKA 2020

yaani makala yote CHAMA CHA JUMUIA YA MADOLA AFRIKA WAKUTANA KUJADILI BAJETI YA MWAKA 2020 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala CHAMA CHA JUMUIA YA MADOLA AFRIKA WAKUTANA KUJADILI BAJETI YA MWAKA 2020 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/chama-cha-jumuia-ya-madola-afrika.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "CHAMA CHA JUMUIA YA MADOLA AFRIKA WAKUTANA KUJADILI BAJETI YA MWAKA 2020"

Post a Comment