TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI (NEC) YATOA ORODHA YA UTEUZI WA WAGOMBEA UBUNGE NA UDIWANI

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI (NEC) YATOA ORODHA YA UTEUZI WA WAGOMBEA UBUNGE NA UDIWANI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI (NEC) YATOA ORODHA YA UTEUZI WA WAGOMBEA UBUNGE NA UDIWANI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI (NEC) YATOA ORODHA YA UTEUZI WA WAGOMBEA UBUNGE NA UDIWANI
kiungo : TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI (NEC) YATOA ORODHA YA UTEUZI WA WAGOMBEA UBUNGE NA UDIWANI

soma pia


TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI (NEC) YATOA ORODHA YA UTEUZI WA WAGOMBEA UBUNGE NA UDIWANI

Na Mwandishi Wetu

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa orodha ya wanachama 15 wa vyama vya siasa walioteuliwa kugombea ubunge katika majimbo ya Singida Kaskazini na Longido.

Tume pia imetoa orodha ya majina ya wanachama wengine 15 wa vyama mbalimbali ambao wamejitokeza kugombea udiwani katika uchaguzi mdogo unaofanyika kwenye kata sita.

Walioteuliwa kugombea ubunge katika jimbo la Longido ni Kisiongo Mayasek Olokuya (CUF), Francis Ringo (CCK), Dk Steven KIruswa (CCM), Mgina Mustafa (AFP), Godwin Sarakikya (ADA TADEA), Feruziy Furuziyson (NRA), Ngilisho Paul (Demokrasia Makini), Simon Bayo (SAU) na Robert Lukumy (TLP). 

Waliojitokeza kugombea ubunge katika jimbo la Singida Kaskazini ni Omari Sombi (AFP), Dalphina Mlelwa (CUF), Monko Joseph (CCM), David Djumbe (Chadema), Aloyce Nduguta (ADA TADEA) na Mchungaji Yohana Labisu (CCK)

Katika uteuzi huo pia kuna walioteuliwa kugombea udiwani katika kata ya Kimandolu ambako kuna wanachama wa vyama vitano vya Gaudence Lyimo (CCM), |Rashid Nyawaya (CUF), Hamis Mgoya ( NRA), RAmadhani Mcharo (Demokrasia Makini), na  Shafii Kiktunda (SAU).

Katika kata ya KIhesa halmashauri ya Iringa Mjini ameteuliwa Sawani Juli (CCM), Kata ya Keza wilayani  Ngara walioteuliwa ni Eradiu8s Bitemele (NCCR Mageuzi), Bakundukize Gwaibondo (CCM), Philipo Bazubwenge (CUF). Kata ya Kurui wilayani Kisarawe wagombea ni Kunikuni Salumu (CCM) na Kikumbi Mwalimu (CUF),

Kata ya Bukumbi wilaya ya Uyui wagombea ni Kasoga Sizya (CCM), Edward Msigala wa (CUF) wakati kata ya Kwagunda wilaya ya Korogwe walioteuliwa ni Said Shenkawa (CCM) na Yusuf Senkawa wa CUF.


Hivyo makala TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI (NEC) YATOA ORODHA YA UTEUZI WA WAGOMBEA UBUNGE NA UDIWANI

yaani makala yote TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI (NEC) YATOA ORODHA YA UTEUZI WA WAGOMBEA UBUNGE NA UDIWANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI (NEC) YATOA ORODHA YA UTEUZI WA WAGOMBEA UBUNGE NA UDIWANI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/tume-ya-taifa-ya-uchaguzi-nec-yatoa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI (NEC) YATOA ORODHA YA UTEUZI WA WAGOMBEA UBUNGE NA UDIWANI"

Post a Comment