UJUMBE WA PEMBE KWA WASANII CHIPUKIZI WA VICHEKESHO NCHINI

UJUMBE WA PEMBE KWA WASANII CHIPUKIZI WA VICHEKESHO NCHINI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UJUMBE WA PEMBE KWA WASANII CHIPUKIZI WA VICHEKESHO NCHINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UJUMBE WA PEMBE KWA WASANII CHIPUKIZI WA VICHEKESHO NCHINI
kiungo : UJUMBE WA PEMBE KWA WASANII CHIPUKIZI WA VICHEKESHO NCHINI

soma pia


UJUMBE WA PEMBE KWA WASANII CHIPUKIZI WA VICHEKESHO NCHINI

Na Khadija Seif,Globu ya jamii

MSANII wa vichekesho nchini aliyejizolea umaarufu kutokana na umahiri na uhodari wa kuchekesha Yusuph Kaimu 

a.k.a Pembe ametoa ujumbe kwa wasanii na waigizaji wa vichekesho ambao ni chipukizi kuwa wabunifu katika kazi zao kwa lengo la kuteka soko la sanaa hiyo kwa nchi za Afrika Mashariki.

Pembe ametoa kauli hiyo leo Januari 17, 2019 wakati anazungumza na Michuzi Blog ambapo amefafanua kwa sasa wasanii wengi wa vichekesho wanafanya kazi kwa kuigana na hivyo kuwa ngumu kumtambua msanii kutokana na sauti anayotumia inatumiwa na wasanii wengi.

"Wasanii wengi wanatumia sauti ya aina moja wakati wa kuigiza na hivyo kuwa ngumu kutambua anayechekesha kwa wakati husika.Hivyo ni vema wakabadilika na kuwa wabunifu kwa kila mmoja kuwa na sauti yake na staili yake ambayo itakuwa rahisi kutambua,"amesema Pembe.

Akizungumzia utofauti wa tasnia ya filamu kwa miaka ya zamani na sasa, Pembe amesema hapo nyuma wasanii walishandana na kuonesha vipaji vyao halisi vya kuigiza na kuchekesha na kwamba walikuwa na nidhamu ya 
kazi."Umahiri wa waigizaji wa zamani ulisababisha hata kufanya uwepo ushawishi uliosaidia kuvuta wadau wengi kuwa karibu na tasnia hiyo,"

Amewataja baadhi ya wasanii wa vichekesho ambao wamejizolea umaarufu kutokana na umahiri wao ni Senga,Bambo na Kingwendu ni wasanii ambao wamekuwa maarufu kutokana aina ya lafudhi zao za sauti zao ambazo 
walikuwa wanazitumia kwenye kuigiza na kwamba unaposikia sauti unajua tu huyo ni Bambo au huyo ni Kingwendu ama Senga.

Amesisitiza kupitia lafudhi zao wasanii hao wamekuwa mfano tosha na mpaka sasa wamebaki kwenye aina ya uwasilishaji wao wa sanaa huku akieleza kuwa hata pale ambapo watu wanapewa tuzo n vema kukawa na utaratibu wa kutambua waliofikisha sanaa hiyo hapo ilipofika.



Hivyo makala UJUMBE WA PEMBE KWA WASANII CHIPUKIZI WA VICHEKESHO NCHINI

yaani makala yote UJUMBE WA PEMBE KWA WASANII CHIPUKIZI WA VICHEKESHO NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UJUMBE WA PEMBE KWA WASANII CHIPUKIZI WA VICHEKESHO NCHINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/ujumbe-wa-pembe-kwa-wasanii-chipukizi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UJUMBE WA PEMBE KWA WASANII CHIPUKIZI WA VICHEKESHO NCHINI"

Post a Comment