title : TANZANIA NA CHINA ZASHIRIKIANA KUKUZA SOKO LA UTALII.
kiungo : TANZANIA NA CHINA ZASHIRIKIANA KUKUZA SOKO LA UTALII.
TANZANIA NA CHINA ZASHIRIKIANA KUKUZA SOKO LA UTALII.
Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii, Meja Jenerali Gaudence Milanzi akizungumza wakati akifungua mkutano wa ushirikiano kati ya Tanzania na China katika sekta ya Utalii jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii, Jaji Mstaafu Thomas Miyayo akizungumza kuhusiana na utalii nchini wakati wa mkutano wa ushirikiano kati ya Tanzania na China katika sekta ya Utalii uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Mhifadhi wa Mazingira na Wanyamapori na Mtafiti wa Sokwe Mtu Sokwe wa Mkoa wa Kigoma ,Dk. Jane Goodal akizungumza kuhusiana na Utalii nchini leo jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii, Meja Jenerali Gaudence Milanzi akiwa katika picha ya pamoja na wa vatendaji wa TTB wadau wa Utalii wa China.
Msanii Maarufu nchini China, Nanping Liu akikabidhi zawadi Mhifadhi wa Mazingira na Wanyamapori na Mtafiti wa Sokwe Mtu Sokwe wa Mkoa wa Kigoma, Dk. Jane Goodal katika Mkutano wa Utalii jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wadau wakiwa katika mkutano wa wadau utalii kati ya Tanzania na China leo jijini Dar es Salaam.
Hivyo makala TANZANIA NA CHINA ZASHIRIKIANA KUKUZA SOKO LA UTALII.
yaani makala yote TANZANIA NA CHINA ZASHIRIKIANA KUKUZA SOKO LA UTALII. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TANZANIA NA CHINA ZASHIRIKIANA KUKUZA SOKO LA UTALII. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/tanzania-na-china-zashirikiana-kukuza.html
0 Response to "TANZANIA NA CHINA ZASHIRIKIANA KUKUZA SOKO LA UTALII."
Post a Comment