OFISA TRA AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA KUPOKEA RUSHWA YA SHILINGI MILIONI 10

OFISA TRA AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA KUPOKEA RUSHWA YA SHILINGI MILIONI 10 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa OFISA TRA AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA KUPOKEA RUSHWA YA SHILINGI MILIONI 10, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : OFISA TRA AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA KUPOKEA RUSHWA YA SHILINGI MILIONI 10
kiungo : OFISA TRA AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA KUPOKEA RUSHWA YA SHILINGI MILIONI 10

soma pia


OFISA TRA AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA KUPOKEA RUSHWA YA SHILINGI MILIONI 10

Na Karama Kenyunko globu ya Jamii

OFISA Msaidizi wa Kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Kituo cha Gerezani Kariakoo, Dar es Salaam, Charles Kapongo  amefikishwa katika Mahakama ya Wilayaya Ilala akikabiliwa na tuhuma za kupokea rushwa ya Sh. milioni 10.

Akisoma hati ya mashtaka wakili wa serikali kutoka Takukuru, Dumas Muganyizi amedai  mbele ya Hakimu Mkazi, Flora Haule kuwa,  Januari 25, mwaka huu katika maeneo ya ofisi za TRA zilizopo Gerezani Kariakoo ndani ya Wilaya ya Ilala,  mshtakiwa alitenda kosa. 

Imedaiwa siku hiyo mshtakiwa Kapongo akiwa mwajiriwa na TRA, alipokea rushwa ya USD ,4200 Ambazo ni Sawa na Sh.  milioni 10, kutika kwa Naibu Magala ambaye ni mwajiriwa wa kampuni ya Ushauri  ya Hakha Business Accounting.

Wakili Flora Anaendeleaje kudai kuwa,  fedha hiyo ilikuwa ni kwa ajili ya kushawishi kupunguza makadirio ya kodi ya kampuni hiyo,  kutoka Sh 45,571,664 kwenda Sh.  milioni nane kitendo ambacho ni kinyume na maadili yake ya kazi.

Hata hivyo,  mshtakiwa amekana kutenda kosa hilo na yuko nje kwa dhamana baada ya kufanikiwa kukamilisha masharti yaliyowekwa Na Mahakama ambapo alitakiwa kuwa na wadhamini kati yao mmoja atoke kwenye taasisi yoyote inayotambulika Na wote wametakiwa kusaini bondi ya Sh.  Milioni tano.

Kwa mujibu wa upande wa mashtaka upelelezi bado haujakamilika na kesi hiyo itatajwa Februari 11.2019
 FISA Msaidizi wa Kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Kituo cha Gerezani Kariakoo, Dar es Salaam, Charles Kapongo akifishwa katika Mahakama ya Wilayaya Ilala akikabiliwa na tuhuma za kupokea rushwa ya Sh. milioni 10.



Hivyo makala OFISA TRA AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA KUPOKEA RUSHWA YA SHILINGI MILIONI 10

yaani makala yote OFISA TRA AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA KUPOKEA RUSHWA YA SHILINGI MILIONI 10 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala OFISA TRA AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA KUPOKEA RUSHWA YA SHILINGI MILIONI 10 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/ofisa-tra-afikishwa-mahakamani-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "OFISA TRA AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA KUPOKEA RUSHWA YA SHILINGI MILIONI 10"

Post a Comment