Waziri Mipango mgeni rasmi Mkutano wa 41 WA OESAI

Waziri Mipango mgeni rasmi Mkutano wa 41 WA OESAI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Waziri Mipango mgeni rasmi Mkutano wa 41 WA OESAI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Waziri Mipango mgeni rasmi Mkutano wa 41 WA OESAI
kiungo : Waziri Mipango mgeni rasmi Mkutano wa 41 WA OESAI

soma pia


Waziri Mipango mgeni rasmi Mkutano wa 41 WA OESAI

Hussein Ndubikile
 Mwambawahabari
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mipango anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Mkutano wa 41 wa Umoja wa Kikanda na Makampuni ya Bima ya Nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika(OESAI) unaotarajiwa kufanyika kwenye Hoteli ya Mount Meru kuanzia Agosti 27 hadi 29 mwaka huu.



Hayo yamesemwa leo jijini Dar es Salaam na Kamishna wa Bima (TIRA), Baghayo Saqware wakati akitoa ufafanuzi kwa wanahabari kuhusiana na mkutano huo.

Amesema Mamlaka ya Usimamizi wa Bima nchini (TIRA) kwa kushirikiana na umoja huo wameamua kuufanaya hapa nchini na kwamba  lengo lake ni kujadili usimamizi bora wa makampuni ya bima, kuangalia namna bora ya huduma za bima ziwafikiea wateja kwa kutumia teknolojia ya teknohama.

“ Tunategemea makampuni na taasisi za bima zitakazoshiriki zitabadilishana uzoefu na kufungua fursa za masoko achilia mbali hilo zitaunaganisha uzoefu kwenye bima za kilimo na ufugaji,” amesema.

Amebainisha kuwa mkutano utashirikisha nchi 33 wanachama na kwamba wageni zaidi ya 300 wanatarajiwa kuingia mjini huo huku akisisitiza utafungua fursa nyingi za kibiashara kwa wenyeji wa mji huo.

Kwa upande wake Mjumbe wa mkutano wa umoja huo, Margaret Ikongo amesema taasisi hiyo imeanzishwa kwa lengo la kubadilishana uzoefu kwa wananchama na kwamba hii mara pili Tanzania kupewa heshima ya kufanyika.



Naye Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya mkutano huo, Khamis Suleiman amesema kuwa mkutano huo ni muhimu kwa kuwa unakutanisha nchi tofauti huku akibainisha lengo ni kuvuka asilimia 15 ya watanzania wanaotumia bima.

Amefafanua kuwa washiriki ambao hawana uzoefu wa masuala ya bima ya kilimo na mifugo watajifunza kutoka kwa makampuni mengine ikiwemo matumizi ya teknohama kuongeza watumiaji wa huduma za bima.




Hivyo makala Waziri Mipango mgeni rasmi Mkutano wa 41 WA OESAI

yaani makala yote Waziri Mipango mgeni rasmi Mkutano wa 41 WA OESAI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Mipango mgeni rasmi Mkutano wa 41 WA OESAI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/waziri-mipango-mgeni-rasmi-mkutano-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Waziri Mipango mgeni rasmi Mkutano wa 41 WA OESAI"

Post a Comment