title : SALAAM ZA RAMBIRAMBI KUTOKA WAKALA WA NISHATI VIJIJINI
kiungo : SALAAM ZA RAMBIRAMBI KUTOKA WAKALA WA NISHATI VIJIJINI
SALAAM ZA RAMBIRAMBI KUTOKA WAKALA WA NISHATI VIJIJINI
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Menejimenti na Wafanyakazi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inatoa pole kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa msiba wa dada yake Bi. Monica Joseph Magufuli uliotokea tarehe 19 Agosti, 2018 katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando jijini Mwanza.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa.
Jjina la Bwana lihimidiwe - AMINA.
Hivyo makala SALAAM ZA RAMBIRAMBI KUTOKA WAKALA WA NISHATI VIJIJINI
yaani makala yote SALAAM ZA RAMBIRAMBI KUTOKA WAKALA WA NISHATI VIJIJINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SALAAM ZA RAMBIRAMBI KUTOKA WAKALA WA NISHATI VIJIJINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/salaam-za-rambirambi-kutoka-wakala-wa.html
0 Response to "SALAAM ZA RAMBIRAMBI KUTOKA WAKALA WA NISHATI VIJIJINI"
Post a Comment