Tanzania yatia fora Tamasha la michezo Afrika Mashariki jijini Bujumbura

Tanzania yatia fora Tamasha la michezo Afrika Mashariki jijini Bujumbura - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Tanzania yatia fora Tamasha la michezo Afrika Mashariki jijini Bujumbura, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Tanzania yatia fora Tamasha la michezo Afrika Mashariki jijini Bujumbura
kiungo : Tanzania yatia fora Tamasha la michezo Afrika Mashariki jijini Bujumbura

soma pia


Tanzania yatia fora Tamasha la michezo Afrika Mashariki jijini Bujumbura

Timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya Wanawake ya Tanzania (waliovalia jezi nyeupe) ikichuana na timu ya wanawake ya mpira wa miguu ya Burundi katika uwanja wa mpira wa Gitega, Burundi. Katika pambano hili timu ya Taifa ya Tanzania iliibuka na ushindi mnono wa magoli 8-1 dhidi ya timu ya mpira wa miguu ya Wanawake ya Burundi. 

Kufuatia ushindi huu timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya Wanawake ya Tanzania inatarajia kukutana na Timu ya mpira wa miguu ya Wanawake ya Kenya katika mchezo utakaofanyika siku ya Alhamis terehe 23 Agosti 2018 kwenye uwanja wa mpira wa Gitega, Burundi.

Aidha, timu ya mpira wa pete ya Taifa ya Tanzania pia iliibuka na ushindi mnono wa magoli 79-14 dhidi ya timu ya mpira wa pete ya Burundi. Kufuatia shindi huo timu ya Taifa ya mpira wa pete inatarajia kukutana na timu ya mpira wa pete ya Uganda hapo kesho tarehe 22 Agosti, 2018 katika viwanja vya Chuo cha Ualimu cha ENS jijini Bujumbura

Vilevile timu ya mchezo wa Karate ya Taifa nayo imeanza kushiriki mchezo huo katika hatua mbalimbali, ambapo hadi sasa mwenyeji wa tamasha hilo Burundi ndiye anayeongoza kushida kwenye vipengele vingi vya mchezo huo.

Tanzania katika Tamasha hili inashiriki katika michezo minne tofauti ambayo ni Riadha (mashindano bado hayajaanza), mpira wa miguu (kwa timu ya wanawake pekee), karate na mpira wa pete.Tamasha la kwanza la Michezo la Afrika Mashariki lilianza kufanyika tarehe 15 Agosti na litafikia tamati Agosti 30, 2018 nchini Burundi. 
Moja wa msambuliaji wa timu ya mpira wa miguu ya Wanawake ya Tanzania akiwachambua mabeki wa timu ya mpira wa miguu ya Wanawake ya Burundi. Katika mchezo huo Tanzania iliibuka na ushindi wa magoli 8 - 1 
Timu ya mpira wa miguu ya Wanawake ya Tanzania ikishangilia ushindi pamoja mashabiki waliojitokeza kushuhudia shindano hilo 
Mmoja wa washiriki wa mchezo wa karate akionesha umahiri wake katika mchezo huo kwenye Tamasha la Kwanza la Michezo la Afrika Mashariki linaloendelea jijini Bujumbura, Burundi 



Hivyo makala Tanzania yatia fora Tamasha la michezo Afrika Mashariki jijini Bujumbura

yaani makala yote Tanzania yatia fora Tamasha la michezo Afrika Mashariki jijini Bujumbura Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Tanzania yatia fora Tamasha la michezo Afrika Mashariki jijini Bujumbura mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/tanzania-yatia-fora-tamasha-la-michezo.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Tanzania yatia fora Tamasha la michezo Afrika Mashariki jijini Bujumbura"

Post a Comment